
robot hilo mie hapana, bado ghali sanaMambo ya dronedrake haya![]()
Bado nawaza likapata hitilafu wakati wa show,,,, hiyo shoti atakayokula mjuba![]()






msisimko wake utakua wa hatar sanaChaputa VVIP classChaputa wameongeza tawi lingine la matajiri

Ha ha ha ....bajeti yako hatar Sanarobot hilo mie hapana, bado ghali sana
nakomaa na BabyCare, mchawi 5000/- kila mwaka

Naiona fursa ya ki biashara hasa hasa huku afrika unalinunua na kua unakodisha kama playstation vile na ona fursa yaki biashara 😊😊😊🤓😂Hapo vip!!
Hatimae roboti za kike zinashika kasi sana Duniani.Wanasema hizi roboti ni watamu kuliko wanawake wakaida...
Nawaza miaka 100 ijayo Hali itakuajeKUNA VITA KUU MBILI DUNIANI KWASASA:
1. Vita ya kumfanya mwanamke kiongozi...ilianzia kwenye 50/50
Na ilianzia Beijing
2. Vita ya pili ni kuisusa Kei ya mwanamke...imeanzia Magharibi kupigia debe kupumuliana wanaume na sasa Midoli ya kike

boraTupo tu usijali.
Bado nawaza likapata hitilafu wakati wa show,,,, hiyo shoti atakayokula mjuba![]()





Unafungua kituo cha jim halafu kenyewe unakaweka kwenye kachumba kake maalum watu wanajipigia dah ni hatari utapiga mihela, halafu unakaseti kwa muda kama vile enzi za internet cafeNaiona fursa ya ki biashara hasa hasa huku afrika unalinunua na kua unakodisha kama playstation vile na ona fursa yaki biashara 😊😊😊🤓😂
naona kama shetani kaamua kuvunja ghala lake la sihalaAiseeeeee mpaka bwana Yesu arudi tutashuhudia mengi...