fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,033
- 5,014
wakina nani wanasemaTena wanasema ni watamu kuliko hawa binadamu.
wakina nani wanasemaTena wanasema ni watamu kuliko hawa binadamu.
Hapa kwenye hitilafu nafikiri kuna umakini mkubwa sana wameuzingatia....Shida hawakojoi wala hawakati Gogo....Na ukiligonga halifiki kileleni yani ni wewe tu mpaka upasue mishipa ya mbupu😂😂😂😂Bado nawaza likapata hitilafu wakati wa show,,,, hiyo shoti atakayokula mjuba
Hao designerswakina nani wanasema
Mwanamke ukipiga na ndomu Ni punyeto, mkifanya kwa ajili ya starehe nayo Ni nyeto tendo Lile litumike kutafuta watoto tuKuna tofauti gani na kupiga puli?
Chaputa wameongeza tawi lingine la matajiriHapo vip!!
Hatimae roboti za kike zinashika kasi sana Duniani.Wanasema hizi roboti ni watamu kuliko wanawake wakaida.
Na ukiwaona hauwezi kuwatofautisha na wanadamu.
Alon Mask,ambaye ni tajiri wa kwanza Duniani amemuoa Roboti ya kike.Nadhani asilimia kubwa ya watu watatamani kuwa na hizi roboti ili kuepuka na changamoto za ndoa husani wanaume..wanakufa sana kwasababu ya stress za wanawake wanadamu.
Pia roboti hawezi kuchepuka kwasababu unakuwa na passwords zake na mambo mengine kiasi kwamba mtu mwingine hawezi kuchipuka naye.
Hapo vip!!

Pia roboti hawezi kuchepuka kwasababu unakuwa na passwords zake na mambo mengine kiasi kwamba mtu mwingine hawezi kuchipuka naye.View attachment 2625067
Picture hiyo hapoBila ka picha uzi haunogi bana 😉
We ngozi nyeusi tulia,hujui dunia inaenda wapAlie kuambia kuwa elon kaoa robot ni nani ? Uwe unatafuta reliable sources sio una okoteza habari huko online unaamini kirahia tu
This is fake
wamesemea wapi tuwekee tusikilizie ,ukipata na picha itakua vzrHao designers
Every man wants a woman where him and her can just go hangKuna tofauti gani na kupiga puli?
Hahahah okwamesemea wapi tuwekee tusikilizie ,ukipata na picha itakua vzr
Kuna tofauti gani na kupiga puli?
Tena bora hayo kuliko hawa ambazo hata ufanye nini wala hauhitaji kuwa mtaalam wa ku hack kuwapata.Hapo vip!!
Hatimae roboti za kike zinashika kasi sana Duniani.Wanasema hizi roboti ni watamu kuliko wanawake wakaida.
Na ukiwaona hauwezi kuwatofautisha na wanadamu.
Alon Mask,ambaye ni tajiri wa kwanza Duniani amemuoa Roboti ya kike.Nadhani asilimia kubwa ya watu watatamani kuwa na hizi roboti ili kuepuka na changamoto za ndoa husani wanaume..wanakufa sana kwasababu ya stress za wanawake wanadamu.
Pia roboti hawezi kuchepuka kwasababu unakuwa na passwords zake na mambo mengine kiasi kwamba mtu mwingine hawezi kuchipuka naye.
View attachment 2625067
"Every man want" why are you talk inbehaveEvery man wants a woman where him and her can just go hang
Just the two of them alone, kick back, doing their own thang
(And doing their own thang)
And every man wants a woman that can always keep him in the mood (yeah)
And I'm that kind of girl so this is what I tell my dude
Nadhani hawa roboti ni special kwa ajili ya wanaume wastarabu wanaotumia mbele..pia ni pesa nyingi sana kummiliki sio mtu wa kawaida tu.vip wamemwekea na jicho la nyuma kumla tigo sababu zungu akili zao wanazijua wenyewe