Tabu yote ya nini si utafute mjakazi akufanyie yote hayo?Siju hizi tunaoa ili tupikiwe,tufuliwe,tuoshewe vyombo,tupate watoto...sio sababu ya ngono hivo mke mwema ni yule anayeweza hayo majukumu...kama k. Zipo kibao mtaani huku
Sent using Jamii Forums mobile app
That is nature.... hata wanyama wasiokua na ufaham wanatambua kiongozi n nani na anapaswa ishi vipiNature mbona mkiwa kwenye mageto yenu hamfanyi hivyo !?
Huwa inaboa sana mtu anasimama anavua nguo anaacha hapo hapo.
Taulo kitandani,upo unapika anakuita kamletee glass mara kidogo kaita umtafutie charger,
Hujarudi vizuri anaulizia remote,
Ukikaa ujiandae uepue unaitwa ukawashe ac/feni.
Mpaka ifike jioni unatamani aondoke tu walau upumzike !
Alilipa, I'm hakukupata bureYuko wawili tu kwenye nyumba, umemaliza kunywa chai basi hata kama kuosha vyombo utashindwa niwekee tu kwenye sinki mwenyewe mitaosha lakini hii umwinyi via kuondolewa kila kitu mezzanine unachosha
Bwana unanichekesha mno haaaaa...that's story of my life kabisa. Na toothpicks zenyewe zipo hapo hapo mezaniNa ukiwa unamnawisha anakutuma toothpick
Tena mwingine kuna sink la kunawia hapo dinning lakini atataka ukamnawishe na bakuli alipokaa. Si ushamba huo sasa? Au ndo umwinyi wenyewe?
Hahahahah af we sky wewe, so Asprin apike wakat we umeenda salon?Mkuu hata sisi tungependa kula chakula walichopika waume zetu siku moja moja. Ninakisikia furaha weekend kama hii baada ya chai Aspirin anaposa babe wewe nenda saloon ya nyumbani niachie. Hata kama atakachoweza kupika ni mchemdho wa kuku na viazi lakini amekufikiria
Baba yako anatoa vyombo???Anayoyafanya mwanaume na mwanamke anafanya pia
Tatizo siyo kiongozi naamini ukitandika kitanda haibadili nafasi yako ndani ya nyumba.That is nature.... hata wanyama wasiokua na ufaham wanatambua kiongozi n nani na anapaswa ishi vipi
Majukumu ya Nyumban n Majukumu ya mama/mke. full stopTatizo siyo kiongozi naamini ukitandika kitanda haibadili nafasi yako ndani ya nyumba.
Maanake kuna mambo utabaki kuwa ni msimamizi daima.
Hayo mambo tushazoea kwenye ndoa we r Tanzanian hata usomeje mwanamke lazima mumeo umhudumie kila kitu wengi tunafundishwa hvyoo
Ni jambo la kawaida pia kwetu ukiona ananuna mke hajafundwa au uzungu mwingi
My own brand!!
Kama unavyoamini.Majukumu ya Nyumban n Majukumu ya mama/mke. full stop
Wewe unamkuta mke wako vizuri na unajua muda wa ku taugh up na muda wa jokes pia muda wa kusaidiaHahahahah af we sky wewe, so Asprin apike wakat we umeenda salon?
It happens, mie huwa ninasaidia nikijiskia ila tatizo nililoona mwanamke ukimsaidia majukumu yake ndio anataka kusererekea hapo. Atataka kukufanyia reference ya mbona siku ile uliweza ili ufanye kila siku..Ujinga huo!
Huwa nasaidia kufua sana sana.
Ni 99% watakuambia unataka haki sawa. Umesahau akivua nguo kwenda kuoga anaziacha pale aliposimama tena chini kabisa halafu hana hela hata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kukuta mahali mwanaume anafundishwa kua mwanaume?? kama nyinyi mlivyo na seminar kila mahal... lakn je, kwann wanaume wote wanatabia zinazo fanana? kawafundisha nani?Kama unavyoamini.
Kama ninavyoamini sisi ni wapenzi tunaoshirikiana kuendesha maisha.
Na kupunguziana majukumu.
Haha imebidi tu nicheke. MKAFUNDWE
Nikuache tu maanake argument zetu hazifanani.Ulishawahi kukuta mahali mwanaume anafundishwa kua mwanaume?? kama nyinyi mlivyo na seminar kila mahal... lakn je, kwann wanaume wote wanatabia zinazo fanana? kawafundisha nani?
Hiyo n Nature... ama asili, ndivyo tulivyo umbwa, tatizo lenu kina mama mnajaribu mno tena kwa kias kikubwa to violate the nature, mnatoka kwenye asili, alafu mnalalamika mnataka mwanaume nae atoke, huyu mleta mada siku chache zilizopita alileta mambo ya kuosha vyombo, kudek, kufua, kuogesha mtoto, kupika nk.. real??? kuna haja gani ya mm kua na mke nyumban sasa???
Mambo ya kusaidiana yapo, lakin kwa zaid ya 95% ni maswala ya kusimama kwenye role yako, kama n baba au mama