hahahaha eti anasikiliza maelekezo!haaha maelekezo toka juu eti eh !semaga hv MSIKILIZANE
Mpakate mumeo bwana mbona siwamabonge wakuta akupakatenakupakata? yaan dume zima ina kilo 90 nilipakate mm wa kilo67?? au sijakuelewa mkuu!heheheh niolewe tena bas jaman kha
Daah, atakae kuwowa ata enjoy sana.Ndo raha ya kuwa na mke...akimaliza huduma zote akija sitting room nampakata nampozapoza kwa mahabbat anafurahi siku inapita vizuri....Sasa Sky wewe unataka 50/50 nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa itakuwa imeshakishinda rudi nyumbani kamuulize kungwi upyaKuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo kiunoni anatafuta atavaa boxer na kama atakumbuka mafuta basi itakuwa kwenye viganja vya mikono. Taulo atakuachia juu ya kitanda si tatizo lake tena.
Mezani umeandaa chai na vitafunio hata kama chumvi haisikiki mfano kwenye mayai atakuita ukamchukulie jikoni hapo ni baada ya kukuita umletee maji ya kunawa na tissue ya kujikaushia.
Yaani ameshindwa kabisa kwenda kunawa jikoni au bafuni au kwenda jikoni kuchukua chumvi. Na akimaliza kula hataondoa hata kijiko mezani anaacha kila kitu pale anakwenda kukaa kwenye sofa anaangalia mpira, kusoma gazeti au anachat kwenye simu. Hiyo ni weekend.
NDIO SABABU YA KUSHAURI WANAWAKE WAFANYE JUHUDI JUU CHINI YA KUISHI NA MCHUMBA WAKE ANGALAU MUDA MFUPI ILI UELEWE KABISA KWAMBAA NI MWINYI AU SIO. VININEVYO KAMA UNAMTAKA MTU WA KUFANYA PAMOJA HAYO MAENEO NAELEWA NI SHIDA KAMA VILE MKE MWENYE UWEZO WA KUPANDA JUU YA MTI NA KUKATA MATAWI AU KUANGUSHA NAZIKuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo kiunoni anatafuta atavaa boxer na kama atakumbuka mafuta basi itakuwa kwenye viganja vya mikono. Taulo atakuachia juu ya kitanda si tatizo lake tena.
Mezani umeandaa chai na vitafunio hata kama chumvi haisikiki mfano kwenye mayai atakuita ukamchukulie jikoni hapo ni baada ya kukuita umletee maji ya kunawa na tissue ya kujikaushia.
Yaani ameshindwa kabisa kwenda kunawa jikoni au bafuni au kwenda jikoni kuchukua chumvi. Na akimaliza kula hataondoa hata kijiko mezani anaacha kila kitu pale anakwenda kukaa kwenye sofa anaangalia mpira, kusoma gazeti au anachat kwenye simu. Hiyo ni weekend.
Hayo mambo tushazoea kwenye ndoa we r Tanzanian hata usomeje mwanamke lazima mumeo umhudumie kila kitu wengi tunafundishwa hvyoo
Ni jambo la kawaida pia kwetu ukiona ananuna mke hajafundwa au uzungu mwingi
My own brand!!
Sorry, sikukuelewa hapa mkuu kumbe ni me mwnzangu.Ndo raha ya kuwa na mke...akimaliza huduma zote akija sitting room nampakata nampozapoza kwa mahabbat anafurahi siku inapita vizuri....Sasa Sky wewe unataka 50/50 nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake ni watoto!Wanaume kama watoto ujue
My own brand!!
hahhahaaUtakuwa umekutana na shetani,siyo mwanaume.
Habeeb Marhan
Bora akiwa na hela hata utamvumilia.
haaaaaaaaaaaaaaa ! nachekaaaaaaaaaa!
Cheka tu mpenzi MBITIYAZA hapo akisikia simu inaita yupo bafuni na povu lakini anatoka mkuku mkuku..
Ila kuchukua toothpick hawezi..
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !uwiiiiii ! kwakweli leo mie burdaniiiiiii ! bora mseme nyie tukisema sie tunaambiwa ndoa imetushinda
Haha ujue nimejigongeza mezani kwa ulivyonichekesha. Shikamoo simu
#smallthingsmatterthemost#