Wanaume mamwinyi

RAHA YA KUWA PAMOJA NI KAMA HIVYO...ILA SIKU UKIONDOKA NDO HAPO NDANI PATAKUWA KAMA (UWANJA WA FISI)*maana zote utakazo
 
Nikifua mimi sawa, ila ukifua wewe alafu ukiweka popote nisipoziona nakuita utafute hatakama upo jikoni au wapi.
Naukichelewa nikiitafuta kwashida nikaiona ujue nikitoka sikuagi, nabamiza mlango naondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app


bamiza salama kwan napungukiwa nn na kuaga kwako haahaahh
 
Ni kweli remote ipo hapo karibu yako, nipo jikoni unaniita nikupe remote kama huo sio ulemavu ni nini?
Sasa kamasiioni nimuulize nani, nikimuita house girl aniletee unanikata jicho kama la mbuzi.

Alafu muache kutaja mahari nyingi, wengine utafkikama unanunua gari!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshaanza uanaharakati.
Wanawake wengi wanaharakati walishaachika au ni masingle mamas
 
Unataka uishije na mwanaume?!!! Kama Mwanaume au kama mwanamke?!!
 
Hayo mambo tushazoea kwenye ndoa we r Tanzanian hata usomeje mwanamke lazima mumeo umhudumie kila kitu wengi tunafundishwa hvyoo Ni jambo la kawaida pia kwetu ukiona ananuna mke hajafundwa au uzungu mwingi My own brand!!
Kabisa kabisa mama, uzungu kwa kweli wavuruga ndoa nyingi Bongo, inasikitisha sana kwa kweli...
 

Hata akikwambia ongeza/punguza speed ya kiuno utamuona mshenzi tu.
 
Huyo ni babaangu Baba Zurie ....amekaa karibu na friji na kabati la vyombo lakini atakuita wewe wa chumbani umuwekee maji ya kunywa. Umemuwekea chai ukasahau kijiko cha kuwekea sukari, anakiona kabatini lakini hawezi kukichukua bali atakuita umletee.

Mkewe akaamua kurahisisha maisha akaweka kikabati kidogo na friji chumbani kwao, yuko kitandani anamuita mama aliye nje aende kumpa juice. Hahahaahah...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…