Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,052
Badala kile anacholalamikia mke akifanyie kazi yeye anadai ni gubuTukisema ukweli tunalalamik??
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Badala kile anacholalamikia mke akifanyie kazi yeye anadai ni gubuTukisema ukweli tunalalamik??
Mim we ningekufundisha adabuMbwa mzee hafundishwi sheria. Watakula maharage na dagaa mpaka wawe wakubwa...
Inakuwaje unaacha kunywa chai kwako unaenda kunywa chai hotelini ,unakunywa chai ya maziwa kwanini usinunue kwako maziwa mkeo akapika mkanywa na wanao,,,hujisikii vibaya wala kujishtukia au kujishuku?
Sio jambo jema kabisa,na sio haki yaan wanawake hebu kuweni wakali kabisa waume zenu muwabane wawe wanakunywa chai home kama ni ya rangi mnywe wote,,,halaf muwadai pesa za matumizi waongeze wenzenu wanatanua huko bar bill kubwa laki au zaidi we unakunywa chai ya rangi mnywe chai ya rangi kwa kupenda n mle vizuri
Wanaume na nyie acheni ubahili kama mnavyoonyesha ubavu na ujeuri wa pesa bar,tunawaomba na majumbani mwenu muanze hiyo jeuri muache matumizi ya kutosha watoto wale vizurii, sio watoto kula vizuri mpaka matumbo yanapata mshituko maana hayajazoea kula vyema
Pendeni familia zenu basi ,,wanasema family first
mkiwa bar utasema nyumbani pako vyema ,ukienda nyumbani hovyoo hovyo watoto wanakula kwa kulamba lamba tu hawashibi sio vizuri kabisa
Nadhani nimeeleweka na mjirekebishe mle hotelin kwa sababu maalumu alaa
Ungeanzia wapi kwa mfano?Mim we ningekufundisha adabu
Mkuu nimependa ulivyomaliziaGracious ....
Na baba asiye bora kabisa ni yule anayeenda kunywa chai ya maziwa wakati watoto nyumbani hata chai hawaijui
wahenga walisema.....(sijui walichokisema)
Hahahaha haya bana kila la heri mnapoamshiana madudeKuliamsha dude muhimu
it's furahi day mehnnn!
Tatizo ni kuchenga kula kwako yaan upo tu huna pa kwenda halaf waenda kula hoteliniEndapo nitakuwa nimewatimizia watoto kila kitu, maziwa, siagi, na makorokoro yote, na kazi yangu ni ya kukutana na kuongea na watu (consultation), mara nyingi asubuhi nakutana na watu kwa mazungumzo, na sipendi kunywa chair mapema, pana ubaya gani meeting ya kwanza nikaifanya over breakfast?
Ningeanzia panapoanziaUngeanzia wapi kwa mfano?
Aliye rudi na njaa anajulikana na aliyeshiba anajulikanaHaha ila sometimes mnatuwazia mabaya bwana. Mkiona Hatupo nyumbani mnajua tunatumbua kumbe tumeshidaa na njaa tu.
Tatizo ni kuchenga kula kwako yaan upo tu huna pa kwenda halaf waenda kula hotelini
Labda hujui kupika Acha kulalamika nenda kajifunze kupika kwanza.Inakuwaje unaacha kunywa chai kwako unaenda kunywa chai hotelini ,unakunywa chai ya maziwa kwanini usinunue kwako maziwa mkeo akapika mkanywa na wanao,,,hujisikii vibaya wala kujishtukia au kujishuku?
Sio jambo jema kabisa,na sio haki yaan wanawake hebu kuweni wakali kabisa waume zenu muwabane wawe wanakunywa chai home kama ni ya rangi mnywe wote,,,halaf muwadai pesa za matumizi waongeze wenzenu wanatanua huko bar bill kubwa laki au zaidi we unakunywa chai ya rangi mnywe chai ya rangi kwa kupenda n mle vizuri
Wanaume na nyie acheni ubahili kama mnavyoonyesha ubavu na ujeuri wa pesa bar,tunawaomba na majumbani mwenu muanze hiyo jeuri muache matumizi ya kutosha watoto wale vizurii, sio watoto kula vizuri mpaka matumbo yanapata mshituko maana hayajazoea kula vyema
Pendeni familia zenu basi ,,wanasema family first
mkiwa bar utasema nyumbani pako vyema ,ukienda nyumbani hovyoo hovyo watoto wanakula kwa kulamba lamba tu hawashibi sio vizuri kabisa
Nadhani nimeeleweka na mjirekebishe mle hotelin kwa sababu maalumu alaa
Labda hujui kupika Acha kulalamika nenda kajifunze kupika kwanza.
HahaAliye rudi na njaa anajulikana na aliyeshiba anajulikana
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Toeni matumizi acheno manenoHuyu ana matatizo huyu .....
Najua kupikaLabda hujui kupika Acha kulalamika nenda kajifunze kupika kwanza.
Karibu Rudizi Famu upate Kitimoto safi. ... Karibu Fyatanga upate michemsho na Mbuzi choma. ...
acha hizo kale nyumbani na familia unazani wanao wanafundshwa na nani jinsi ya kula vizuri!Toeni matumizi acheno maneno
Afu ukipata mimba utamlaumu nani?Ningeanzia panapoanzia