Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kuna mazingira ambayo kweli yanafanya mtu ashindwe kunywa chai nyumbani asubuhi...
Sidhani kama kweli mwanaume anaweza kaa na kikombe saa kumi na mbili labda na nusu huku anatakiwa awahi ofisini, kwa mie pia Siwezi kabisaa.... Chai nanywa saa nne kazini nyumbani hata iwe tayari Siwezi....
Ni vyema tuu wawe wanashiriki chakula cha jioni na familia na kuhusu hela, mwanaume anaejitambua naamini lazima aache matumizi ya kutwa nzima na wengine hufanya manunuzi ya mwezi mzima.... Nasisitiza wapo wanaume wanaojali mnoo familia zao, suala la kunywa chai asubuhi kwa kweeli huwashinda weengi, halafu ukute maza house amelala beki tatu ndo anaandaa chai....