Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,856
- 89,758
Gracious ....Welcome back.
Kwa kiasi chake. Ukiona mtu anajipenda zaidi ya anavyokipenda kiumbe alichokileta duniani kuna namna hapo.
Baba bora ni yule atalala njaa ila mwanae ale burger. Ila baba bora zaidi ni yule atakayekula barger na mwanae barger.
Na baba asiye bora kabisa ni yule anayeenda kunywa chai ya maziwa wakati watoto nyumbani hata chai hawaijui
wahenga walisema.....(sijui walichokisema)