Wanaume kwanini mna tabia mbaya?

Wanaume kwanini mna tabia mbaya?

hakuna ukweli hapo, coz mtu kula hotelin siyo kwamba kakimbia chai ya rangi km unavosema, sema ni ufinyu wa mda tu.
Unaamka saa tatu unaenda kunywa chai jirani na kwako,ufinyu upo wapi hapo wa muda
 
Ila kiukweli,Hua tunatumia hela nyingi sana bar ili tupate heshima

Ila tambua hiyo ni NATURE

huwez badili asili,
 
Ni kweli tunatumia nguvu kutafuta lazima tushibe jumlisha sababu za kibailojia.

ila shida tunazivulia saana ili muishi vizuri nyie.
hahahahaahh
Naona na wewe umeamua kuandika kwa uchungu
 
Haaa we mdingi hatari hutaki wanao wapate vitamin ya kutosha?

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Nyama haina vitamini. Vitamin wataipata kwenye matunda. Protini wataipata kwenye maharage...
 
Wanasingizia hivyo hebu waambie bana
Mie lazima alee asipokula nami sili hapo anapewa taarifa kama hali nami hiyo hela tukale hata kwa babanitile tusipike nyumbani

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Muda mwingine ni woga wao. Wakiona Hatupo nyumbani wanajua tunakula vinono kumbe tumejikalia vijiweni tu tunapiga stori
Hata kama tunakula vinono... si tunakula kwa jasho letu. Watoto wasubiri wakiwa wakubwa nao watafaidi...
 
Naunga mkono hoja,

Vitu vingine unaweza kuchukulia kawaida.

ila ndugu zangu mlio na familia badirikeni, unakutana na jamaa Hotelini asubuhi anapiga supu ya kuku na vyapati safi wakati familia yake home wanapiga chai ya rangi na vipande vya mihogo, mchana anapiga lunch matata sana wakati familia yake inakula ugali na matembele, usiku yupo bar anatoa ofa kwa wanawake wasioeleweka wakati home mke wake ana khanga moja imepauka watoto wanashindia vibukta vimetoboka hatari, mtu hataki hata siku moja kutoka out na mkewe maana kamchakaza mkewe anaishia kuhonga kwa michepuko.

Mlio kwenye ndoa muda wa kubadirika sasa.

 
Unaamka saa tatu unaenda kunywa chai jirani na kwako,ufinyu upo wapi hapo wa muda[/QU
mwaname anaeamka saa tatu uyo ni mzembe, wanaume wa kweli tunaamkaga mapema sana na huo ndo uhalisia wa mwanaume wa kitanzania. so km mwanaume wako anaamka saa tatu basi jua kua ni mzembe ila sisi wengine alfajiri tuko nje ya kitanda
 
Wamesikia

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Mkiishi wawili lazima mrekebishane na mkubaliane
Gea habibu kuna namna nilivyotoa maelezo yangu pale juu sijui kama yatakuwa yaliingia sawasawa kwako.
kuna kuolewa ama kuoa kwa kufuata uhalisi. (Fact)
mfano nataka mwanamke aliyesoma, mwenye kazi, anayetoka katika familia fulani.. dini na nk. Hapa huangalii hisia.. bali uhalisia..
kisha kuna kuoa ama kuolewa kwa kufuata hisia. (Feeling) endapo kizungu changu ni sahihi..
hapa mtu anampata mwenzi sabbu hisia zake zinasema naam huyu ndie haswaa niliyekuwa namhitaji..
katika mahusiano haya changu chetu chetu changu mume ama mke hakuna anayejutia maamuzi yake wawe maskini mmoja akose kazi ama vip ndoa hii haitetereki.
lakini kwa ile ya kwanza ambayo imejengwa katika misingi ya uhalisia (ambazo siku hizi ndio nyingi) usitegemee mtu apate shida kwa ajili yako haipo.
huu ni mtazamo wangu.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 

Ahsante umeongea uhalisia kabisa, mfano Mimi kila siku naondoka nyumbani saa 10 alfajiri, kama nikisema nipate breakfast home hiyo itakua ni daku sasa. Kikubwa ni kuijali familia yako kama unavyojijali na kuyatekeleza majukumu yako kama baba.
Kuna weekend, chakula cha jioni mnakula wote hapo mke hawezi kulalamika unakuta mke hajui mme anapenda chakula gani maana siku akila nyumbani kuna wageni au ni mgonjwa

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa family first ila pale nyumbani mama jitahidi kupafanya lovely sio nikiwa nyumbani ndio wakati utukane watoto
Uite majina yote mabaya
Kila saa umenuna
Na mafujo fujo mengine wakati mwingine tunaondoka sio kwamba tumependa ila unakuta nyumba fujo mtindo mmoja

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom