uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,703
- 37,939
Nataka nikushauri ule vizuri ili sura iwe laini
Ni laini, but with bones ....kidogo
Nataka nikushauri ule vizuri ili sura iwe laini
Safi kabisaMie lazima alee asipokula nami sili hapo anapewa taarifa kama hali nami hiyo hela tukale hata kwa babanitile tusipike nyumbani
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Aaaah!!! Kwaio una hakika kwamba hatunywi chai kwenye manyumba zetu!?? Kazini unatakiwa uingie saa moja na robo, mke nae saa moja na roo, hiyo chai ya saa ngapi hapo home!!? Tunakunywaga weekend tu bhaaaaasiNdio utoe matumiz ili tusifatilie
Anakuwa kama panziTatizo ni kuchenga kula kwako yaan upo tu huna pa kwenda halaf waenda kula hotelini
YaanAnakuwa kama panzi
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Mie usipokula kesho utashinda ndani nafunga mlangoni hutoki, kama umekula huko utaweka hata kwenye soksi zakoHaha
Chakula bora cha mtoto ni matunda, maharage, dagaa na mchicha.Mtoto anajengwa akiwa mdogo mkuu
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Hili nafikiri linategemea na utaratibu wa Nyumba.Mie usipokula kesho utashinda ndani nafunga mlangoni hutoki, kama umekula huko utaweka hata kwenye soksi zako
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Ungemuuliza baba yako nyumbani akakujibu huko au yeye siyo mwanaume??..Inakuwaje unaacha kunywa chai kwako unaenda kunywa chai hotelini ,unakunywa chai ya maziwa kwanini usinunue kwako maziwa mkeo akapika mkanywa na wanao,,,hujisikii vibaya wala kujishtukia au kujishuku?
Sio jambo jema kabisa,na sio haki yaan wanawake hebu kuweni wakali kabisa waume zenu muwabane wawe wanakunywa chai home kama ni ya rangi mnywe wote,,,halaf muwadai pesa za matumizi waongeze wenzenu wanatanua huko bar bill kubwa laki au zaidi we unakunywa chai ya rangi mnywe chai ya rangi kwa kupenda n mle vizuri
Wanaume na nyie acheni ubahili kama mnavyoonyesha ubavu na ujeuri wa pesa bar,tunawaomba na majumbani mwenu muanze hiyo jeuri muache matumizi ya kutosha watoto wale vizurii, sio watoto kula vizuri mpaka matumbo yanapata mshituko maana hayajazoea kula vyema
Pendeni familia zenu basi ,,wanasema family first
mkiwa bar utasema nyumbani pako vyema ,ukienda nyumbani hovyoo hovyo watoto wanakula kwa kulamba lamba tu hawashibi sio vizuri kabisa
Nadhani nimeeleweka na mjirekebishe mle hotelin kwa sababu maalumu alaa

Marufuku kula nje mara nyingi kula nyumbaniHili nafikiri linategemea na utaratibu wa Nyumba.
Wengine saa 12 saa 1 upo nyumbani karibia kila siku. Wengine saa 3, 4. Sasa mtu amekuja saa 4 umlazimishe kula na wakati kashakula alipotoka kweli.
Povu vepeeUngemuuliza baba yako nyumbani akakujibu huko au yeye siyo mwanaume??..![]()
Kama siyo form sita wewe bahati..!Povu vepee
Mwanaume mashine.....,
We ni form nyoya bishaaKama siyo form sita wewe bahati..!
Narudia tena...., MWANAUME MASHINEMashine gani? Au ya kusaga mahindi.
Inakuwaje unaacha kunywa chai kwako unaenda kunywa chai hotelini ,unakunywa chai ya maziwa kwanini usinunue kwako maziwa mkeo akapika mkanywa na wanao,,,hujisikii vibaya wala kujishtukia au kujishuku?
Sio jambo jema kabisa,na sio haki yaan wanawake hebu kuweni wakali kabisa waume zenu muwabane wawe wanakunywa chai home kama ni ya rangi mnywe wote,,,halaf muwadai pesa za matumizi waongeze wenzenu wanatanua huko bar bill kubwa laki au zaidi we unakunywa chai ya rangi mnywe chai ya rangi kwa kupenda n mle vizuri
Wanaume na nyie acheni ubahili kama mnavyoonyesha ubavu na ujeuri wa pesa bar,tunawaomba na majumbani mwenu muanze hiyo jeuri muache matumizi ya kutosha watoto wale vizurii, sio watoto kula vizuri mpaka matumbo yanapata mshituko maana hayajazoea kula vyema
Pendeni familia zenu basi ,,wanasema family first
mkiwa bar utasema nyumbani pako vyema ,ukienda nyumbani hovyoo hovyo watoto wanakula kwa kulamba lamba tu hawashibi sio vizuri kabisa
Nadhani nimeeleweka na mjirekebishe mle hotelin kwa sababu maalumu alaa

nimekula nini leo mbn naandika sana hivi kha!Hata wenyewe kama wanatabià hiyo waache, mtoa mada hajamaanisha woteMi huwa nachukizwa na hii tabia mbaya ya kujumuisha kundi zima kwa makosa ya mabwege wachache,unaposema wanaume tuna tabia mbaya unamjumlisha hadi babaako,wajomba,mababu na wanaume wengine wote hata wasio na tabia ulizozitaja,
Say no to generalisation
HaaChakula bora cha mtoto ni matunda, maharage, dagaa na mchicha.
sasa huyo mtoto wa kiume atakomaa vipi asipokula mchangayiko wa vyakula
ni shida sasa kama mie nipendavyo vyuku tena sio vile vya two weeks no nataka wakienyeji kama ndiyo nanihii wangu si ungenitesa na michicha ya mto msimbaziOfisi gani saa4Hili nafikiri linategemea na utaratibu wa Nyumba.
Wengine saa 12 saa 1 upo nyumbani karibia kila siku. Wengine saa 3, 4. Sasa mtu amekuja saa 4 umlazimishe kula na wakati kashakula alipotoka kweli.