Wanaume kutooa wapenzi wao wa muda mrefu

Wanaume kutooa wapenzi wao wa muda mrefu

Ukishakubali kugegedwa kabla ya ndoa the pendulum can swing eaither way. Sure proof way ya kutokubwagwa ni kumbania papuchi mpaka akuoe...huyo atakauwa kakupenda kweli.
 
Nilitafuta kwanza niliemuona anafit nafasi yake then nikachukua maamuzi ya kumuacha,ninachofurahi ni kuwa tangu tumeachana ulipita mwaka mzima hatutaftani,ila kwa sasa tumekuwa marafiki na tupo mikoa mbalimbali

Aseee ntaijaribu hii mbinu ila kama nikifanikiwa kuachana nae sitaki awe karibu yangu tena iwe kimawasiliano au kuonana
 
Punguza mapenzi then mchukulie kawaida tu...pole pole tu utakuwa unatoka

Mara ya kwanza nilitumia mbinu hii nikawa sipokei sim wala kureplay sms zake wala kuonana ila roho ilikua inauma nikiona ananipigia bila kukata tamaa nilijaribu kila namna ya kutozidi kumpenda but ilikua kinyume chake upendo ulizidi zaidi ya mara ya kwanza aasee sijui mwisho wangu utakuaje uwiiii
 
MKE wangu nilikaa naye kwenye uchumba kwa miaka 6, tangu nikiwa form six, chuo 4 years + mwaka mmoja kazini na leo tumeoana na tunaishi vizuri kabisa.
Ila siku niliyomwambia nataka kumuoa alicheka akidhani masihara na akaniambia kuwa ilikuwa imebaki miezi michache ili aniache na atafute mwanamume muoaji, alinivumulia kwa mengi na alikuwa akinipa huduma stahiki hivyo niliamua kulipa fadhila kwa kumuoa maana ndugu wote wa upande wangu walikuwa wanamjua.

Swala ni kujipanga tu na kuwa na malengo.

Hongeera mkuuu
 
Yap inawezekana kabisa...hupaswi kukaa kwenye uchumba mda mrefu sana miezi 6, mwaka 1 au umeenda sana 2 years are enough... Mbali na hapo hatari kubwa ipo kwa binti anaweza kuachwa solemba
Mkuu hiyo sio kozi ya diploma...watu wanaenda hadi six years...

Binafsi nilishawahi kuwa kwenye relationship na binti for seven years...nilidumu naye coz tulizoeana sana na alinipenda kwa kweli japo nikimwambia siwezi kuja kukuoa anasema poa tu, na nikijaribu kumuacha ananililia sana to the extent kama binadamu namuonea huruma...ila honestly sikumpenda ile 100%

Muombe mungu akusamehe kwa dhambi ulioitenda, maana huyo binti anaeza kukupa laana
 
Mara ya kwanza nilitumia mbinu hii nikawa sipokei sim wala kureplay sms zake wala kuonana ila roho ilikua inauma nikiona ananipigia bila kukata tamaa nilijaribu kila namna ya kutozidi kumpenda but ilikua kinyume chake upendo ulizidi zaidi ya mara ya kwanza aasee sijui mwisho wangu utakuaje uwiiii

Tafuta replacement wake hiyo ndio itasaidia kumsahau kama utashindwa kabisa kubali kumfata kwenye dini yake
 
Ulitumia mbinu gani mkuu mimi nimejaribu nimeshindwa uwiiii na ni mwislam mie mkristo kubadili ni ngumu kwangu

Kwa maneno yako tayar ushamuacha kiroho ila kimwil bado kuna ugum asikuambie mtu ukipata mwanaume yuko smart huyo utamsahau haraka sana kwa sabab tayar kiroho humtak ila yamebak matamanio so ucjal utamuacha kiajab na hutaamin
 
Ukishakubali kugegedwa kabla ya ndoa the pendulum can swing eaither way. Sure proof way ya kutokubwagwa ni kumbania papuchi mpaka akuoe...huyo atakauwa kakupenda kweli.

Wengii wao wanadai hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia, lkn yote kwa yote uchumba sugu hauna maana
 
Honestly hana tabia mbaya coz nimesha date naye for the past seven years hivyo namjua vizuri tu..japokuwa anazungukwa na close friends ambao most of them ni vicheche as I said before.
Sababu ya kutotaka kumuoa nilishasema nimejipima mara nyingi tu nakugundua sina mapenzi ya dhati nayeye.. Kudumu kwetu kwa mda mrefu hv ni sababu ya kuzoeana kupita maelezo, ila I wish apate A man of her life..na sure I'm telling huyo jamaa atafurahia vitu vingi sana kwa huyu dada

Hukuwa na mapenzi ya dhati, alafu umedumu nae miaka saba...eti tu kwasababu mmezoeana.
Kwanini usimuache baada ya kugundua? Huoni ulikuwa unampotezea muda, na kumkosesha bahati
 
Kwa maneno yako tayar ushamuacha kiroho ila kimwil bado kuna ugum asikuambie mtu ukipata mwanaume yuko smart huyo utamsahau haraka sana kwa sabab tayar kiroho humtak ila yamebak matamanio so ucjal utamuacha kiajab na hutaamin

Duuuu sijui asee coz nimeanzia mbali nae more than 3years kutongozwa kupo wanaume wa kila namna na wenye uwezobut sijaweza muacha
 
Duuuu sijui asee coz nimeanzia mbali nae more than 3years kutongozwa kupo wanaume wa kila namna na wenye uwezobut sijaweza muacha

Kama babu haucki hapo kumuacha itawezekana tu kwa sabab wewe kama ww ushakubal humtak ila nafs ndo inasita ipo cku atafanya jambo ambalo utaliona baya na itakuwa tiket ya kumuacha
 
Kama babu haucki hapo kumuacha itawezekana tu kwa sabab wewe kama ww ushakubal humtak ila nafs ndo inasita ipo cku atafanya jambo ambalo utaliona baya na itakuwa tiket ya kumuacha
Mhhhh unanitishaaa babuu sangoma tenaa uwiiiii
GOD forbid
 
Kama babu haucki hapo kumuacha itawezekana tu kwa sabab wewe kama ww ushakubal humtak ila nafs ndo inasita ipo cku atafanya jambo ambalo utaliona baya na itakuwa tiket ya kumuacha

I wish siku moyo wangu ukubali kulet it go for good
 
Asante mkuu
Katika pitapita zako hujawahi kutana na scenario kama yangu? Share with us

Nliwahi tena sio mara moja enzi hizo za ubazazi. Acha tuu nilikuwa second year. The whole year i used to approach...anakuja kukaa sawa linakuja swala la dini, i loved her soo...paka leo tunawasiliana na kila mtu anareget for hizi dini..
Dini ilinikosesha mke,
Nliumia, ila muda ukaamua akajitokeza mwingine...
 
Aseee pole sanaa mkuu ulitumia njia gan kumwacha
 
Back
Top Bottom