hill and portion
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 1,236
- 744
Haiwezekan for good na ikiwa hvyo utaumia zaid coz utaja jiuliza kwann umemuacha utakosa jib then utaumia sanaa
Uwiiiii najuuutaa kupenda miee uwiii
Mkuu na wewe ulipitia huku mimi ilipoee?
Haiwezekan for good na ikiwa hvyo utaumia zaid coz utaja jiuliza kwann umemuacha utakosa jib then utaumia sanaa
Aseee pole sanaa mkuu ulitumia njia gan kumwacha
Yani unafurahia mwenyewe kupata mume, kumbe mwenzio analipa tu fadhila Mmh. Mungu ni mwema
Imebidi tuu, hatukudate zaidi ya kuwa overfriends....ila alinipa ukweli wangu nkaendelea na kusearch
Uwiiiii najuuutaa kupenda miee uwiii
Mkuu na wewe ulipitia huku mimi ilipoee?
Nimsubirie nani? Khaa miaka 7 labda kama walianzia o- levelTeh teh....jamaa kalipa fadhila miaka saba ya kutumia...
Sijui wewe ungevumilia miaka saba? Usubiri malipo ya fadhira
"Common faith" jambo la msingi sana ingawa tunalichukuliaga poa afu mwishoni mnaishia kuachana while mnapendanaNliwahi tena sio mara moja enzi hizo za ubazazi. Acha tuu nilikuwa second year. The whole year i used to approach...anakuja kukaa sawa linakuja swala la dini, i loved her soo...paka leo tunawasiliana na kila mtu anareget for hizi dini..
Dini ilinikosesha mke,
Nliumia, ila muda ukaamua akajitokeza mwingine...
Oooh shukrani mkuu kwa kushare nami experience yako ntafanya kila namna nipate ufumbuzi
Uwiiiii najuuutaa kupenda miee uwiii
Mkuu na wewe ulipitia huku mimi ilipoee?
Mm nimepitia na ni zaid ya mara moja had leo nashindwa kuuelewa moyo aisee nilisema ctapenda tena na kama nikipenda bac nitapenda kwa kiwango flan ila daah najikuta nazama kimo kile kile nilichozama nilikotoka vimbwanga kwa nimpendae vnaanza ila kila kitu kinawezekana kabisa
Nimsubirie nani? Khaa miaka 7 labda kama walianzia o- level
Teh teh teh sasa si maisha labda hayaja nyooka. Licha ya hivyo pia kuna swala la utayari wa mtu..(kimwili, kiakili, ) unavuta subira....
A haa haa
"Common faith" jambo la msingi sana ingawa tunalichukuliaga poa afu mwishoni mnaishia kuachana while mnapendana
Wewe mkuu unatakiwa kwanza psychological ukubali hali halisi na ukili mwenyewe kutoka ndani kwamba haiwezekani kuoana.
Then from there ukikili hivyo na kurealize unakuwa kama umereleze mzigo flani hivi moyoni. Accept kwamba its imposible...then move on..
Baada ya hapo nadhan fanya kuwa huru tu moyoni mwako na mentality iwe katika searchings...yani single and available....
Fungua ukurasa wa fulsa...kwa makini tuu unapata right substitution. Then maisha yanaendelea...
Huwezi kulazimisha mambo, ambayo kwa namna moja huko baadae probably inaeza kuletea shida kwenye malez na makuzi ya watoto, pia ule umoja wa kifamilia hautakuwepo
Polee sanaa mkuu
Nikifanikiwa kumaliza huu uhusiano sitaki tena ijirudie kwangu kosa moja lisizae lingine?mpenzi mnaoendana dini inapendeza asikwambie mtu na hata watoto hawapati shida
kweli, linaletaga shida mnoo....ila kwanini watu sio flexible tuu kubadili na kuwa na common faith!? For their mutual benefit in their future...
Njema kabisa nilishawahi kumtega sanaa ili nimtafutie kosa lakini waaapii ndo mana inakua ngumu kumwacha coz lazima ataniuliza unaniacha kwa kosa gani au sababu zipi hapo ndo kigugumizi kinaanza
Mmh kubadili dini si kitu kirahisi mpendwakweli, linaletaga shida mnoo....ila kwanini watu sio flexible tuu kubadili na kuwa na common faith!? For their mutual benefit in their future...
Yani hata kama wazazi wakubali, aisee mimi kama mimi kubadili dini sitoweza kamwe. Imani sio kitu cha kubadilishwa overnight. Ndo utashangaa mwingine anakubali kubadili dini kisa ndoa afu akifika kwenye ndoa anaact kama mpagani. seriously nibadili Imani yangu kisa mtu? I'll be fooling myself.Mkuu kubadili dini siyo jambo jepesi especially kama familia yako imeshikilia dini sanaa (mfano familia yangu mie ni ya kikristo)ni ngumu sana wazazi kukubali kuona mwanae anaenda dini tofauti na walivyokulea wao
MKE wangu nilikaa naye kwenye uchumba kwa miaka 6, tangu nikiwa form six, chuo 4 years + mwaka mmoja kazini na leo tumeoana na tunaishi vizuri kabisa.
Ila siku niliyomwambia nataka kumuoa alicheka akidhani masihara na akaniambia kuwa ilikuwa imebaki miezi michache ili aniache na atafute mwanamume muoaji, alinivumulia kwa mengi na alikuwa akinipa huduma stahiki hivyo niliamua kulipa fadhila kwa kumuoa maana ndugu wote wa upande wangu walikuwa wanamjua.
Swala ni kujipanga tu na kuwa na malengo.
Ahsante mkuu, hili swala lako sio kubwa kiivyo, ingekua ishu kama tayar umezaa nae au una ujauzto wake bt now ni muda wako wa ku take action kabla jua halijazama likizama itakua ngum kwako sana ila kwa sa hv utaumia ila co kwa kiwango ambacho utaumia utakapochelewa!
Mara nyingine hao wanaume wanapigwa kibuti...hivyo wanajikuta wametafuta wenza wapya.
Mmh kubadili dini si kitu kirahisi mpendwa
Yani hata kama wazazi wakubali, aisee mimi kama mimi kubadili dini sitoweza kamwe. Imani sio kitu cha kubadilishwa overnight. Ndo utashangaa mwingine anakubali kubadili dini kisa ndoa afu akifika kwenye ndoa anaact kama mpagani. seriously nibadili Imani yangu kisa mtu? I'll be fooling myself.