Wanaume kutooa wapenzi wao wa muda mrefu

Imagine umedate na mtu miaka 5 afu ndo anakuja kusema siwezi kukuoa. Hadi upite kipindi cha maumivu, uje uanze tena mahusiano hadi upate sasa huyo mtu wa kukuoa. Haya na huyo baby mpya after miaka miwili anasema sijakupenda kwa dhati. Mmh binti wa watu hajazeeka pasipo sababu? Mnataka Tuvumilie kitu gani haswa? Maana kuna watu wapo vizuri tu lakini kuoa hawataki. Msipotezee mabinti za watu muda bana

hapa nikupotezeeana muda wote..
 
hili jambo mi naliona hivi

1. Tabia za vijana wa kike na kiume kabla ya ndoa

Siku hizi ni kama vile malezi muhimu kwa watoto kutoka kwa wazazi na jamii inayowazunguka yamepungua kwa wengi. Pia hata baada ya kuvunja ungo/kubalehe hakuna mafunzo ya kimaandalizi ya kujenga tabia njema ambazo ndizo zinahitajika kwa mume/mke wakati ukifika.

Binti akikua huku hapendi kazi za mikono, hafatilii mama anavyolea watoto, hafatilii namna mama anavyoendesha familia akiwa kama mtendaji mkuu, mvivu, anapenda movies tu, anapenda kununa na kuzirazira. Hata akishafikia wakati wa kuwa tayari kuolewa mara nyingi hizi tabia atakuwa nazo. Anaweza kuzificha kwa muda tu lakini muda si mrefu huzionyesha.

Hata vijana wa kiume, wakikua huku wakiwa na dharau kwa dada zao, hawajitumi kwa kazi za nyumbani kama kuweka mazingira safi, hawapendi kujifunza namna baba anavyosimamia miradi, wanakaa vijiweni tu, wanatongoza wasichana tu na kujiingiza kwenye mapenzi ya kilaghai.
Hata wakishakuwa wakubwa katika muda wa kuoa tegemea hawawezi kuwa waume ambao mabinti watawataka, ila wanaweza jificha kwa muda lakini tabia zitajitokeza tu.

Kwa hiyo tunachokiona leo hii kuhusu mahusiano mengi kutofikia ndoa na watu kusema hawaendani ni sawa na kusema siku hizi watu hawana tabia na mienendo mizuri.

2. Utaratibu wa kuoana

Utaratibu wenye tija ni unaoanzia urafiki, uchumba halafu ndoa.

Kipindi cha urafiki kunakuwa na mawasiliano na mazungumzo ya kawaida kabisa. Au ni watu wanaoonana mara kwa mara sokoni, chuo, kanisani, mtandaoni etc. Wakati huu ni mzuri kwa kumfuatilia mtu tabia zake halisi kwa kuwa ni rahisi kujua na yeye si rahisi kuzificha.

~Uchumba
Hapa inahusisha makubaliano ya awali kati ya binti na kijana wa kiume. Baada ya wao kuelewana na kukubaliana huanza safari ya uchumba. Uchumba rasmi hufikiwa kwa kupeleka posa na kuanza taratibu za ndoa kifamilia.

NB: HAPA SI MAHALI PA KUFANYA TENDO LA NDOA.
Madhara yake ni makubwa. Ndiyo sababu ya wanaume wengi kutokuoa haraka, kama anapata tendo kuna haraka gani ya kuoa? Pili ikitokea mkaachana uchumba na mmeshafanya tendo hiyo huhesabika kwamba mlishaungana kimwili kwa kufanya kwenu tendo. Wengine huona wamechezewa na wanaweza kuchezewa na watu wengi sana. Wadada wengi waliotulia hujikuta wanakuwa malaya kwa kudanganywa na wanaume kwa kisingizio cha nitakuoa. Pia mimba zinaingia sana na kutolewa sana kama tendo litafanyika hapa.

~Ndoa
Hapa mara nyingi ni kukamilisha maelewano yenu mbele ya mashahidi na kupata cheti cha ndoa cha serikali.
Hapa tendo la ndoa ni kiunganishi kikuu.
Hapa kila mtu ni mmiliki halali wa mwenzake.
Hatakiwi mtu mwingine kuwaingilia wala wanandoa hawatakiwi kutoka nje.
 
Honestly hana tabia mbaya coz nimesha date naye for the past seven years hivyo namjua vizuri tu..japokuwa anazungukwa na close friends ambao most of them ni vicheche as I said before.
Sababu ya kutotaka kumuoa nilishasema nimejipima mara nyingi tu nakugundua sina mapenzi ya dhati nayeye.. Kudumu kwetu kwa mda mrefu hv ni sababu ya kuzoeana kupita maelezo, ila I wish apate A man of her life..na sure I'm telling huyo jamaa atafurahia vitu vingi sana kwa huyu dada

Hawezi kuwa na marafiki wengi vicheche asiwe kicheche na yeye. Na hio ndio sababu wazazi wako hawamtaki.
 
Imagine umedate na mtu miaka 5 afu ndo anakuja kusema siwezi kukuoa. Hadi upite kipindi cha maumivu, uje uanze tena mahusiano hadi upate sasa huyo mtu wa kukuoa. Haya na huyo baby mpya after miaka miwili anasema sijakupenda kwa dhati. Mmh binti wa watu hajazeeka pasipo sababu? Mnataka Tuvumilie kitu gani haswa? Maana kuna watu wapo vizuri tu lakini kuoa hawataki. Msipotezee mabinti za watu muda bana

Inategemea na mtu! Wanaume tunatofautiana kama jinsi mlivyo nyie. Imagine, wakati nakutana nawe awali nilikuwa vizuri kweli na kutokana na hali ya kibinaadam na maisha, kwenu(binti) hampo vizuri ila nikaamua kukufainance kishule angalau utimize ndoto zako! Lakini mwisho wa siku baada ya kusoma na kupata kazi baada ya miaka 9 ya kuvumiliana ke unaamua kumtelekeza mwenzio pasipo sababu kisa umepata kazi.
Nimeamua kutoa case study kama hii coz majority washakutana nazo!
Ni nyie ndo wenye matatizo....
 
Aah kwa huo mfano wako nakuelewa vizuri. Na kweli tunawaumiza wengi hapo.
Hapa tunaongelea sasa "uchumba sugu". Washkaji mmezidi sio kwa kuendekeza uchumba hewa. Unakaa na binti wa watu 5 years afu unakuja kusema ooh sijampenda. Ni haki kweli?
 
Imagine umedate na mtu miaka 5 afu ndo anakuja kusema siwezi kukuoa. Hadi upite kipindi cha maumivu, uje uanze tena mahusiano hadi upate sasa huyo mtu wa kukuoa. Haya na huyo baby mpya after miaka miwili anasema sijakupenda kwa dhati. Mmh binti wa watu hajazeeka pasipo sababu? Mnataka Tuvumilie kitu gani haswa? Maana kuna watu wapo vizuri tu lakini kuoa hawataki. Msipotezee mabinti za watu muda bana

sio km tunapoteza mda wenu dada ila inatokea tu mkiwa ktk mahusiano unagundua kuna vitu havipo sawa....

unajaribu kumwelekeza kwa upole anakua hatak kubadilika , inafika hatua unasema basi hatuwez kujenga familia kwa hali hii....

so ku break up msitulaumu sie tu hata nyie mnachangia sana
 
Ndo huo ugunduzi wa vitu visivyo sawa mfanye mapema. After Miaka 5 ndo unagundua hakufai? Mwee
 
hio miaka 5 hapana, hata mimi napinga kabisa......

Aah nashukuru kwa hilo. Ukiona mtu hakufai, muache tu mapema. Sema na Sisi wanawake ni wajinga, mahusiano miaka 5? Labda kama mnasoma/ mmeanzia masomoni
 
Asante mkuu
Katika pitapita zako hujawahi kutana na scenario kama yangu? Share with us

Mapenzi ni natural thing. Huyo anayekwambia eti utafute replacement... Hiyo sio love. Ni utajifosi tu kuwa na mtu kisa dini. Whats dini?
Ina maana ukiolewa na wa dini moja ndio itakua true love? Ndio utadumu nae? Hatokuacha? Hatokuumiza? Hebu ifikie mahali tuzibuke huu mgando ulio kichwani.

Ukipata wa same dini ndio itakuaje? Ndio atakupenda sana au ndio hatokuumiza? Hivi unaoa dini au unaoa mtu? Dini zenyewe wala hamziishi.....mnafanya madhambi kibao na hamfuatishi maandiko lakini mnaweka vizuizi eti dini..

My dear, love your man! Dini haina nafasi, kwanza tumeziletewa hizi...kwa meli
 
Aah nashukuru kwa hilo. Ukiona mtu hakufai, muache tu mapema. Sema na Sisi wanawake ni wajinga, mahusiano miaka 5? Labda kama mnasoma/ mmeanzia masomoni

mitano mbna michache sana wa2 wanakaa zaidi y hpo.......shida ni nyie kina dada ohhhh nataka mume mwenye hiki n kile......pia ndoa inakuja rohoni automatically sio kwa kuilazmisha.....angalia ndoa nyingi kuanzia 2009 upto 2014 nyingi chali cz mlikurupushana tu au m2 kapata mimba ndio mnasogezana.

ila rohoni kwako hukutaka ndoa mapema yani unakua kma baba swalehe
 
MKE wangu nilikaa naye kwenye uchumba kwa miaka 6, tangu nikiwa form six, chuo 4 years + mwaka mmoja kazini na leo tumeoana na tunaishi vizuri kabisa.
Ila siku niliyomwambia nataka kumuoa alicheka akidhani masihara na akaniambia kuwa ilikuwa imebaki miezi michache ili aniache na atafute mwanamume muoaji, alinivumulia kwa mengi na alikuwa akinipa huduma stahiki hivyo niliamua kulipa fadhila kwa kumuoa maana ndugu wote wa upande wangu walikuwa wanamjua.

Swala ni kujipanga tu na kuwa na malengo.

DAR jaman...nimeamini kati ya wanaume 20 waliioa, mmoja tu ndo kaoa ampendaye! wengine tunaoa kurudisha fadhila ha haaaaa
 
Umelipa fadhila kumbe...
 
Mapenzi ni natural thing. Huyo anayekwambia eti utafute replacement... Hiyo sio love. Ni utajifosi tu kuwa na mtu kisa dini. Whats dini?
Ina maana ukiolewa na wa dini moja ndio itakua true love? Ndio utadumu nae? Hatokuacha? Hatokuumiza? Hebu ifikie mahali tuzibuke huu mgando ulio kichwani.

Ukipata wa same dini ndio itakuaje? Ndio atakupenda sana au ndio hatokuumiza? Hivi unaoa dini au unaoa mtu? Dini zenyewe wala hamziishi.....mnafanya madhambi kibao na hamfuatishi maandiko lakini mnaweka vizuizi eti dini..

My dear, love your man! Dini haina nafasi, kwanza tumeziletewa hizi...kwa meli

Mkuu tatizo watoto watakua katika wakati mgumu tutawaleaje?na katika misingi gani ya kiimani
 
Mapenzi ni natural thing. Huyo anayekwambia eti utafute replacement... Hiyo sio love. Ni utajifosi tu kuwa na mtu kisa dini. Whats dini?
Ina maana ukiolewa na wa dini moja ndio itakua true love? Ndio utadumu nae? Hatokuacha? Hatokuumiza? Hebu ifikie mahali tuzibuke huu mgando ulio kichwani.

Ukipata wa same dini ndio itakuaje? Ndio atakupenda sana au ndio hatokuumiza? Hivi unaoa dini au unaoa mtu? Dini zenyewe wala hamziishi.....mnafanya madhambi kibao na hamfuatishi maandiko lakini mnaweka vizuizi eti dini..

My dear, love your man! Dini haina nafasi, kwanza tumeziletewa hizi...kwa meli
Dini ina nafasi kubwa sana unamdanganya tuu hapa
 
Back
Top Bottom