Divine...
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 1,641
- 3,174
Mmh hizi ndoa hizi acha tu
Acha mama ukisikia ya humo ndan unaweza kata tamaa kuingia.
Mmh hizi ndoa hizi acha tu
Mungu atusaidie tuAcha mama ukisikia ya humo ndan unaweza kata tamaa kuingia.
Mungu atusaidie tu
The lady is presentable kinoma hivyo hata nikitoka naye out najiona kidume jinsi alivyo cute..ila hakubaliki kabisa nyumbani sio baba, mama wala sisters zangu..japo kitabia yeye kama yeye ni nzuri sana...ila ana weakness mbili kubwa marafiki zake wote niliowajua for the past seven years ni vicheche yani hawajatulia kabisa...secondly hakwenda shule kivile aliishia form four hivyo she lack confidence to some of the staffs.. Ila all in all ni mwanamke mzuri kimuonekano, anayamudu vizuri majukumu ya mwanamke ndani ya nyumba, also she is good on bed...ila she's not my choice at all...atakayemuoa atafaidi vingi sana
Yani unafurahia mwenyewe kupata mume, kumbe mwenzio analipa tu fadhila Mmh. Mungu ni mwemaKila mtu ana bahat yake. Wengine hawajui hata kama kuna shida hizo wao
Yani unafurahia mwenyewe kupata mume, kumbe mwenzio analipa tu fadhila Mmh. Mungu ni mwema
Eeeh unaonewa tu huruma maskini. Yani ni bora tu mtu asikuoe jamani ujue mojaYaan moyo kichakaa kizitoo ww unahis unapendwaa kumbe loo. Mwenzio kakuonea huruma sasa hapo mwisho wa siku atapata tu anayempenda na lazima atatoka
Eeeh unaonewa tu huruma maskini. Yani ni bora tu mtu asikuoe jamani ujue moja
Honestly hana tabia mbaya coz nimesha date naye for the past seven years hivyo namjua vizuri tu..japokuwa anazungukwa na close friends ambao most of them ni vicheche as I said before.
Sababu ya kutotaka kumuoa nilishasema nimejipima mara nyingi tu nakugundua sina mapenzi ya dhati nayeye.. Kudumu kwetu kwa mda mrefu hv ni sababu ya kuzoeana kupita maelezo, ila I wish apate A man of her life..na sure I'm telling huyo jamaa atafurahia vitu vingi sana kwa huyu dada
I gotta same problem like yours i dont know what to do although im inlove
Soo confused
Unapaswa uchukue maamuzi mapema,japo wote yatawaumiza!Ila mtaadapt tu baadae!
Na mimi nilikuwa critical in love halafu nilikuwa na tatizo kama hilo la dini mkuu..lakini ikabidi kulet it go angalau nilikuwa naumia sana ilikuwa hakuna jinsi mimi kwenda kwenye uislam kitu ambacho ni kigumu
Mwanzo huwa hawaanzi na mpango/kauli hiyo kwamba baadae waje waoane...huishi pamoja ili kula raha tu.Mpango huja baadae na unakuta mtu akiwaza anaona mhhh....huyu mbona nitamchoka mapema.Raha ya ndoa muwe wapyawapya yaani hamjazoeana sana. Na ndio baadhi ya watu wanoa/wanaolewa lakini bado wana watu wao wa kula nao raha.
MKE wangu nilikaa naye kwenye uchumba kwa miaka 6, tangu nikiwa form six, chuo 4 years + mwaka mmoja kazini na leo tumeoana na tunaishi vizuri kabisa.
Ila siku niliyomwambia nataka kumuoa alicheka akidhani masihara na akaniambia kuwa ilikuwa imebaki miezi michache ili aniache na atafute mwanamume muoaji, alinivumulia kwa mengi na alikuwa akinipa huduma stahiki hivyo niliamua kulipa fadhila kwa kumuoa maana ndugu wote wa upande wangu walikuwa wanamjua.
Swala ni kujipanga tu na kuwa na malengo.
Yanii nilijaribu kumwacha toka moyoni afu nikamwambia tuachane loool asee asikwambie mtu mapenzi yana nguvu after few days nilimtafuta mwenyewe na kuomba msamaha
Its like i cant live without him ooh God sijui nifanyaje wakuu nipeni mbinu nyingne zanhu zimefel plziiii
Ulitumia mbinu gani mkuu mimi nimejaribu nimeshindwa uwiiii na ni mwislam mie mkristo kubadili ni ngumu kwangu
Mama yangu huniambia bado naweza pata binti mzuri zaidi ya huyu...wanahisi hana tabia nzuri coz alishawahi kuzaa mapema sana akiwa secondary hivyo mtoto wake ni mkubwa tu kwasasa..japo ukimuona ni mpaka mtu akuambie huyu dada ana mtoto otherwise huwezi hata kudhania ana chuchu zile tunaziita saa nne kasoro hata saa sita bado hazijafika..na kiumri tunalingana miaka..
Ivi ni kweli kwamba wanaume wengi hawawaoi wapenzi wao wa mda mrefu?na matokeo yake kuwaacha na kuoa msicha mwingine.?na sababu huwa ni nini?