Wanaume kutooa wapenzi wao wa muda mrefu

MKE wangu nilikaa naye kwenye uchumba kwa miaka 6, tangu nikiwa form six, chuo 4 years + mwaka mmoja kazini na leo tumeoana na tunaishi vizuri kabisa.
Ila siku niliyomwambia nataka kumuoa alicheka akidhani masihara na akaniambia kuwa ilikuwa imebaki miezi michache ili aniache na atafute mwanamume muoaji, alinivumulia kwa mengi na alikuwa akinipa huduma stahiki hivyo niliamua kulipa fadhila kwa kumuoa maana ndugu wote wa upande wangu walikuwa wanamjua.
Swala ni kujipanga tu na kuwa na malengo.

Ivi ni kweli kwamba wanaume wengi hawawaoi wapenzi wao wa mda mrefu?na matokeo yake kuwaacha na kuoa msicha mwingine.?na sababu huwa ni nini?
 
kuanzia miaka 3 na kuendelea bila ya kufunga ndoa.
Mwanzo huwa hawaanzi na mpango/kauli hiyo kwamba baadae waje waoane...huishi pamoja ili kula raha tu.Mpango huja baadae na unakuta mtu akiwaza anaona mhhh....huyu mbona nitamchoka mapema.Raha ya ndoa muwe wapyawapya yaani hamjazoeana sana. Na ndio baadhi ya watu wanoa/wanaolewa lakini bado wana watu wao wa kula nao raha.
 
MKE wangu nilikaa naye kwenye uchumba kwa miaka 6, tangu nikiwa form six, chuo 4 years + mwaka mmoja kazini na leo tumeoana na tunaishi vizuri kabisa.
Ila siku niliyomwambia nataka kumuoa alicheka akidhani masihara na akaniambia kuwa ilikuwa imebaki miezi michache ili aniache na atafute mwanamume muoaji, alinivumulia kwa mengi na alikuwa akinipa huduma stahiki hivyo niliamua kulipa fadhila kwa kumuoa maana ndugu wote wa upande wangu walikuwa wanamjua.

Swala ni kujipanga tu na kuwa na malengo.

Mpendwa ulimuoa kumlipa fadhila au kwa sababu uliona ndo chaguo sahihi kwako?
 
MKE wangu nilikaa naye kwenye uchumba kwa miaka 6, tangu nikiwa form six, chuo 4 years + mwaka mmoja kazini na leo tumeoana na tunaishi vizuri kabisa.
Ila siku niliyomwambia nataka kumuoa alicheka akidhani masihara na akaniambia kuwa ilikuwa imebaki miezi michache ili aniache na atafute mwanamume muoaji, alinivumulia kwa mengi na alikuwa akinipa huduma stahiki hivyo niliamua kulipa fadhila kwa kumuoa maana ndugu wote wa upande wangu walikuwa wanamjua.

Swala ni kujipanga tu na kuwa na malengo.

Ulioa kulipa fadhila au ndio uliyeona anafaa kuwa mkeo mpendwa uliyependeza naye?
 
Inategemeana na mahusiano yenu mna malengo gani ?. ila kwangu mm nimekaa miaka 7 kwenye mahusiano na ndio nimemuoa huyo huyo.
Afadhali ngoja nijipe moyo. labda ntaolewa.
 
Huyo mpenzi WA zamani endapo mahusiano yenu ni y a muda mrefu atakuonyesha m a kucha yake
 
Naweza sema inategemea, Maana kuna mtu alikuwa na mauhusiano na mchumba wake kuanzia 2006 wakiwa o level.... sasahivi ndo wanaendelea na vikao vya maandaliz ya ndoa yao....
Asante.kumbe wapo wanaotimiza ahadi zao.ngoja nami nitie bidii kwenye maombi
 
Yap inawezekana kabisa...hupaswi kukaa kwenye uchumba mda mrefu sana miezi 6, mwaka 1 au umeenda sana 2 years are enough... Mbali na hapo hatari kubwa ipo kwa binti anaweza kuachwa solemba
 
Binafsi nilishawahi kuwa kwenye relationship na binti for seven years...nilidumu naye coz tulizoeana sana na alinipenda kwa kweli japo nikimwambia siwezi kuja kukuoa anasema poa tu, na nikijaribu kumuacha ananililia sana to the extent kama binadamu namuonea huruma...ila honestly sikumpenda ile 100%
 
MKE wangu nilikaa naye kwenye uchumba kwa miaka 6, tangu nikiwa form six, chuo 4 years + mwaka mmoja kazini na leo tumeoana na tunaishi vizuri kabisa.Ila siku niliyomwambia nataka kumuoa alicheka akidhani masihara na akaniambia kuwa ilikuwa imebaki miezi michache ili aniache na atafute mwanamume muoaji, alinivumulia kwa mengi na alikuwa akinipa huduma stahiki hivyo niliamua kulipa fadhila kwa kumuoa maana ndugu wote wa upande wangu walikuwa wanamjua. Swala ni kujipanga tu na kuwa na malengo.
Asante kwa kutimiza ahadi. namwomba mungu nami wangu aje atimize ahadi
 
The lady is presentable kinoma hivyo hata nikitoka naye out najiona kidume jinsi alivyo cute..ila hakubaliki kabisa nyumbani sio baba, mama wala sisters zangu..japo kitabia yeye kama yeye ni nzuri sana...ila ana weakness mbili kubwa marafiki zake wote niliowajua for the past seven years ni vicheche yani hawajatulia kabisa...secondly hakwenda shule kivile aliishia form four hivyo she lack confidence to some of the staffs.. Ila all in all ni mwanamke mzuri kimuonekano, anayamudu vizuri majukumu ya mwanamke ndani ya nyumba, also she is good on bed...ila she's not my choice at all...atakayemuoa atafaidi vingi sana
 
Hili limewapata wengi!
 
Kwa nini huyo binti hakubaliki nyumbani kwenu?
 
Kisicho riziki hakiliki hakika dunia sio sehemu salama tena wacha nipite tu
 
Back
Top Bottom