Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 571
Sababu ndo hiyo hairuhusiwi
kuwa na hawara kabla ya ndoa !!?
vingievyo utakuwa mnajimaliza wenyewe !
kuwa na hawara kabla ya ndoa !!?
vingievyo utakuwa mnajimaliza wenyewe !
Mama yangu huniambia bado naweza pata binti mzuri zaidi ya huyu...wanahisi hana tabia nzuri coz alishawahi kuzaa mapema sana akiwa secondary hivyo mtoto wake ni mkubwa tu kwasasa..japo ukimuona ni mpaka mtu akuambie huyu dada ana mtoto otherwise huwezi hata kudhania ana chuchu zile tunaziita saa nne kasoro hata saa sita bado hazijafika..na kiumri tunalingana miaka..Kwa nini huyo binti hakubaliki nyumbani kwenu?
Na wewe unavyoona tabia zake kweli ni mbaya? Anyway mwisho wa siku wewe ni msemaji wa mwishoMama yangu huniambia bado naweza pata binti mzuri zaidi ya huyu...wanahisi hana tabia nzuri coz alishawahi kuzaa mapema sana akiwa secondary hivyo mtoto wake ni mkubwa tu kwasasa..japo ukimuona ni mpaka mtu akuambie huyu dada ana mtoto otherwise huwezi hata kudhania ana chuchu zile tunaziita saa nne kasoro hata saa sita bado hazijafika..na kiumri tunalingana miaka..
Na wewe unavyoona tabia zake kweli ni mbaya? Anyway mwisho wa siku wewe ni msemaji wa mwisho
Daah haya bana, it shall be well with her.Honestly hana tabia mbaya coz nimesha date naye for the past seven years hivyo namjua vizuri tu..japokuwa anazungukwa na close friends ambao most of them ni vicheche as I said before.
Sababu ya kutotaka kumuoa nilishasema nimejipima mara nyingi tu nakugundua sina mapenzi ya dhati nayeye.. Kudumu kwetu kwa mda mrefu hv ni sababu ya kuzoeana kupita maelezo, ila I wish apate A man of her life..na sure I'm telling huyo jamaa atafurahia vitu vingi sana kwa huyu dada
Afadhali ngoja nijipe moyo. labda ntaolewa.
Honestly hana tabia mbaya coz nimesha date naye for the past seven years hivyo namjua vizuri tu..japokuwa anazungukwa na close friends ambao most of them ni vicheche as I said before.

Wanawake wenyewe muda mwingine huwa mnachangia kukaa na mtu kwa muda mrefu na kuachika,mfano:mimi nimekaa na binti kwa muda wa miaka 4 mwisho wa siku tukaachana na bado yeye alikuwa anakomaa niendelee nae,tatizo lilikuwa ni dini mimi mkiristo yeye muislam,kubadili dini hataki anataka mimi ndo nibadili,nikamwambia hapa hakuna future,tuachane kila mtu aendelee na maisha yake,yeye anakomaa ananambia nikipata mwingine ndo nimwambie tuachane,nimekuja kumpata mwingine akamaindi balaaa,ila mwisho wa siku kila mtu alibaki kivyake!
Honestly hana tabia mbaya coz nimesha date naye for the past seven years hivyo namjua vizuri tu..japokuwa anazungukwa na close friends ambao most of them ni vicheche as I said before.
Sababu ya kutotaka kumuoa nilishasema nimejipima mara nyingi tu nakugundua sina mapenzi ya dhati nayeye.. Kudumu kwetu kwa mda mrefu hv ni sababu ya kuzoeana kupita maelezo, ila I wish apate A man of her life..na sure I'm telling huyo jamaa atafurahia vitu vingi sana kwa huyu dada
I gotta same problem like yours i dont know what to do although im inlove
Soo confused
kumbeee....haitakiwi muishi pamoja kabla ya kuoana.
Mpendwa ulimuoa kumlipa fadhila au kwa sababu uliona ndo chaguo sahihi kwako?
Binafsi nilishawahi kuwa kwenye relationship na binti for seven years...nilidumu naye coz tulizoeana sana na alinipenda kwa kweli japo nikimwambia siwezi kuja kukuoa anasema poa tu, na nikijaribu kumuacha ananililia sana to the extent kama binadamu namuonea huruma...ila honestly sikumpenda ile 100%
Mmh hizi ndoa hizi acha tuYan mm mwenyew cjamuelewa hebu aeleze vzr