hill and portion
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 1,236
- 744
Yaan kwa vyovyote vile ndoa yenu haiwez tena kuwa ya furaha na aman ya moyo...sabab kuu ikiwa ni tofaut ya dini na sasa itakuja kuwa mzigo kwa watoto wenu,,,kwan watakuwa njia panda hawatajua washike dini ipi kat yenu...ndoa inahitaj upendo wa ndan ya moyo na aman ya moyo ukifos ndoa ya namna hyo Moyon utakuwa huna aman,
Ndo hicho kitu mimi sitaki kuwatesa watoto wasio na hatia