Wanaume kupaka rangi kucha mabinti

[
siku hizi sio wakongo tu. Nimetoka saluni sahv mkaka wa kichaga kaniseti. Ukiniona mwenyewe utanitamani. Hahahaha! Siku hz hakuna kazi ya kike wala kiume. Wanawake wenyewe zege tunabeba.

mmm....:typing:
 
Nikweli z.yaani kipato chipo saluni nyingi tu za namna hiyo unayoongelea.......nafikiri wakati wa mimi kutumia saluni hizo haujafikia ...........................angu chooote nikamalizie kwenye urembo?...............ebo!..........................

Hizo nywele tu.........bado kucha......viatu vizuri.............mavazi........pochi....................lotion................perfume..........n.k.............Ziko huduma za bei ya kati ambazo wengi tulikimbilia huko.........yamenishinda nimetafuta mbadala...................siwezi osha nywele kwa 20,000/- (labda siku ya sikukuu)......teh teh teh........................................................kisa fulani na fulani ofisini wanaosha hapo!

Ndio maana nikafanya maamuzi yanayo endana na uwezo..................................kikubwa zaidi..........naokoa muda pia...................
Huwezi amini hapa nachati na wewe kuna wateja hapa kama 2 hivi ambao napenda nikupe mifano kidogo kupitia kwao.
Huyu wa kwanza -: kafanya steaming ya tsh 15,000, kanunua weaving pc 2 @tsh 150,000 X 2= 300,000 na amezisukia kichwa kizima {extension ya uzi from brazil} kusuka hiyo style kichwa kizima ni tsh 120,000. kafanya pedicure na manicure tsh 30,000 na kabandika kope tsh 25,000. Sasa nakuomba umpigie hesabu wewe mwenyewe ni how much she gonna pay.

Huyu wa pili -: kaosha na kusuka nywele za tsh 80,000.kafanya facial ya tsh 40,000 na kaweka gel ya mikono ya tsh 40,000. Nakuomba umpigie hesabu wewe mwenyewe. Siwezi kuorodhesha wateja wote tokea asubuhi....ila nimekupa hiyo kidogo tu ili upate picha. Na bado tuko ofisini and very busy. Kwahiyo usemacho ni kweli kuja kufanya service kwenye masalon kama haya iz very expensive!
 
Hiyo ni kazi kama kazi nyingine sioni tatizo lolote lililopo hapo!
 
Mkuu asikudanganye mtu! salon ni salon....kunawatu walijaribu kuweka vitu vyote hivyo nyumbani including dryer lakini mwisho wa siku walishindwa. Pia salon ni moja ya sehemu ya kutuliza ubongo wako.....na kuhudumiwa ni vizuri zaidi kuliko kujihudumia[/QUOTENakubaliana na wewe ni ngumu sana kuifanya hii shughuli mwenyewe nyumbani.Salun ina raha yake hasa akihudumia mwanaume huwa ababaishi anaifanya vema kazi yake,tofauti na mwanamke akikuhudumia.
 
kuliona kalio la mwanamke ni tofauti na kulishika ,nahakika mshikachuma kwenye hii saluni yangu nkakushika with intention of sex desire kwenye miguu yako utafika peak tu, hawa mr kucha huwa wanatuambia leo nimek¤j¤lesha watano ,sita.....
Mkuu hakuna kitu hapo! mie nina miaka 7 kwenye hii game na nimehudumia watu wengi sana....lakini kwa vile naipenda na kuiheshimu kazi yangu' sijawahi kuwa na hisia za kijingajinga kabisa....hapa ni kazi tu wangu. Huwezi amini mie huwa nawafanyia wadada na wamama massage na waxing na sijawahi kupatwa na wazimu wowote.....tena sometime ndani ya massage room watu wanabaki kama walivyo zaliwa na ninajitahidi kuzishinda hisia zangu
 
ila tukubaliane mpendwa salun ni ofisi tena nyeti sana na naiheshimu sana ila mm nikifanyiwaga mascrub natamani chapchap ingetake place ,hisia za kutamaniana zipo kwenye ofisi yoyote ila salun kuna miguso so inahusika zaidi
 
Hapa sasa nakubaliana na wewe kwa %100 na ninashukuru kuwa umenielewa vya kutosha.
Mkuu asikudanganye mtu....biashara ya salon inalipa sana kama umejipanga na kuipenda kutoka kwenye damu yako! na hasa kama umeisomea na kuisimamia vizuri....hakika salon za kike zinalipa sana! Binafsi naiheshimu hii kazi kupita maelezo na ninaipenda sana!....yaani ukifika ofisini kwetu hatuna tofauti na wafanyakazi wa bank,nssf au wafanyakazi wa wizara fulani....yaani tuko team work and very smart kwenye kila idara....no blah blah.
 
Ndivyo ilivyo mwanaume anamjua zaidi mwanake ndio maana hiyo shughuli anaipatia na mteja anafurahi.kama ilivyo madisigners wengi wa nguo za kike ni wanaume
 
Huwezi amini hapa nachati na wewe kuna wateja hapa kama 2 hivi ambao napenda nikupe mifano kidogo kupitia kwao.
Huyu wa kwanza -: kafanya steaming ya tsh 15,000, kanunua weaving pc 2 @tsh 150,000 X 2= 300,000 na amezisukia kichwa kizima {extension ya uzi from brazil} kusuka hiyo style kichwa kizima ni tsh 120,000. kafanya pedicure na manicure tsh 30,000 na kabandika kope tsh 25,000. Sasa nakuomba umpigie hesabu wewe mwenyewe ni how much she gonna pay.

Huyu wa pili -: kaosha na kusuka nywele za tsh 80,000.kafanya facial ya tsh 40,000 na kaweka gel ya mikono ya tsh 40,000. Nakuomba umpigie hesabu wewe mwenyewe. Siwezi kuorodhesha wateja wote tokea asubuhi....ila nimekupa hiyo kidogo tu ili upate picha. Na bado tuko ofisini and very busy. Kwahiyo usemacho ni kweli kuja kufanya service kwenye masalon kama haya iz very expensive!

Mmmhn!.................si wenzangu hao.............................ILA hata ningekuwa na pesa kiasi gani.......................hapo hamjanikamata...................
Kwanza sipendi mwili wangu ujae artificial things like that...............mpaka kope?........aaaaugh.....................

We zichange tu my dear.......................si umekuja mjini kutafutaa?..................wakileta we pokea au vipi?Tena mi ningekuwa wewe.................
ningeongeza maubunifu ya kufa mtu.................customer care ya hali ya juu...................ili nizikusanye vizuri.........PIGA MZIGO!
 
Mkuu hakuna kitu hapo! mie nina miaka 7 kwenye hii game na nimehudumia watu wengi sana....lakini kwa vile naipenda na kuiheshimu kazi yangu' sijawahi kuwa na hisia za kijingajinga kabisa....hapa ni kazi tu wangu. Huwezi amini mie huwa nawafanyia wadada na wamama massage na waxing na sijawahi kupatwa na wazimu wowote.....tena sometime ndani ya massage room watu wanabaki kama walivyo zaliwa na ninajitahidi kuzishinda hisia zangu

Mmhn?.................................kakaaa................kakaaa weee............haya kaka..............wamesikia tangazo.........................
 
khaaa......ndo maana siku hizi mimi sikubali kabisaa ruhusa za kwenda kufanyiwa massage ..(sijui manicure whatever) kwa sababu hizi hizishindwa na ulegeee....umepatwa moshi wataka na moto kabisa.....utaungua...
hebu kesho uje mpwapwa unifanyie bikini line.
 
Mmmhn!.................si wenzangu hao.............................ILA hata ningekuwa na pesa kiasi gani.......................hapo hamjanikamata...................
Kwanza sipendi mwili wangu ujae artificial things like that...............mpaka kope?........aaaaugh.....................

We zichange tu my dear.......................si umekuja mjini kutafutaa?..................wakileta we pokea au vipi?Tena mi ningekuwa wewe.................
ningeongeza maubunifu ya kufa mtu.................customer care ya hali ya juu...................ili nizikusanye vizuri.........PIGA MZIGO!
Wala isikutishe hawa ni wenzako tu! ila kilakitu ni maamuzi na kila mtu anapanga maisha yake mwenyewe.....pia mtu ujikuna pale anapojifikia.
Kuhusu costumer care hapo ndiyo usipime wangu!....yaani sisi cha kwanza ni costumer care and kno ur costumer na mengine yanafuatia.
Kuhusu artificial things hilo ni swala lingine na linahitaji mjadala mpana sana! ila niseme tu hakuna kitu ambacho most of wanawake wanapenda kama nywele zao,kucha na sura zao....na %80 ya huduma ya hivyo vitu 3 ni artificial matirial na vinacost pesa sana....na pia usisahau kuwa urembo ni gharama
 
Lakini inamaumivu kidogo.....siku ya kwanza yakupasa uwe mstahimilivu kidogo'lakini ukishazowea ni kama kumsukuma mlevi tu
naomba turudi kwenye mada wapendwa maana naona mnaanza matangazo ya huduma zinazopatikana kwenye office zenu.hoja ya msingi mnaridhika wanaume kushika miguu kisingizio kupaka rangi??
 
Back
Top Bottom