Wanaume kupaka rangi kucha mabinti

Mwanaume kupaka kucha rangi mwanamke ndo chanzo cha umaskini ktk hii nchi hakuna ubunifu wowote hapo ni uchafu tu ,limekuwa janga la kitaifa ingekuwaa amri yangu kungekuwa na kazi mwanaume hatakiwi kufanya yaani "Mr kucha" nchi inahitaji maombi ya emergency
 
Mkuu wewe unawazimu kabisa! alafu unanivunja mbavu kabisaaa.....lakini si kosa lako labda ujatembea, na kama umetembea na ukaona how it goes basi umeamua kuiponda kazi wanayofanya wanaume wenzako. Ningefurahi hayo maombi ya emergency ungewafanyia baadhi ya wanaume wenzako waliogeuka kuwa wakina dada {mashoga} hebu waombee hawa kwanza kabla ya kuwaombea waume wenzako wanaotafuta kwa njia nyeupe.
 
afu ujue wanaume ndo wanajua kupaka rangi vizuri kuliko wanawake,lol!na raha yake kama unapakwa rangi na mkaka na haidresser mwanaume,kila siku jamaa anakupleka afu anakusibiria bar opposite. basi full kupendwa,lol!
 
Hahahaaaa dada King'asti unanivunja mbavu!. Yes ni ukweli ambao siwezi kuupinga kuwa wanawake wengi waendapo salon wanapenda kuhudumiwa na wakaka....iwe kwenye nywele au iwe kwenye kucha....maana imani yao inawatuma kuwa mwanaume ndiye anaweza zaidi kazi hiyo kuliko mwanamke. Hapo kwenye feeling siwezi kupazungumzia
 
Alafu hao wanawake walivyowehu akfanya kazi hyo mwanamke mwenzao hawaendi.. Ninao ushahidi wa'waz dada yangu ana'saloon yake lkn wenzake wamemsusia hata hawaendi
biashara sio kujuana tu, kama huduma mbovu halafu ana mashauzi hapati mtu.Hlf wanaume wanatengeneza nywele vizuri jamani.
 
halafu mwanaume akigeuka shoga mnaanza oh sijui blah blah mwanzo wa mwanaume kuliwa kiboga ni kusuka wanawake ,kupaka kucha rangi sababu anaiga vitabia vya kike baadaye wanamgeuza,wanawake mnashindwa kupakana rangi wenyewe ndo maana wanaume hawaoi ataoa vipi wakati tayari kashakuwa jike this country bana hey man get off that shit job pls!
 
Mkuu wewe unawazimu kabisa! alafu unanivunja mbavu kabisaaa.....lakini si kosa lako labda ujatembea, na kama umetembea na ukaona how it goes basi umeamua kuiponda kazi wanayofanya wanaume wenzako. Ningefurahi hayo maombi ya emergency ungewafanyia baadhi ya wanaume wenzako waliogeuka kuwa wakina dada {mashoga} hebu waombee hawa kwanza kabla ya kuwaombea waume wenzako wanaotafuta kwa njia nyeupe.
mwanzo wa ushoga ni kufanya kazi za kike kupaka kucha rangi akidada mtakosa mabf maana wataanza kukaa kikikekike na ni janga men unapakapaka rangi mabinti nawe unatamani kupakwa au kuliwa then ushoga uliza ulianzaje ni kwa men kutofanya yanayomhusu then kukimbilia mambo ya ukeni mwisho mnamfundisha mnayofanya huko ukeni then mashoga na kuna uhusiano wa utu wa mtu na kazi anayofanya! Man how can you paint women nails??
 
biashara sio kujuana tu, kama huduma mbovu halafu ana mashauzi hapati mtu.Hlf wanaume wanatengeneza nywele vizuri jamani.
Ahsante dada angu kwa kuliona hilo....maana huyu jamaa na baadhi ya watu wanaitazama kazi hii kwa macho 2 tu....nilipenda waitazame kwa jicho la 3 pia. Ila siyo kweli kuwa wakaka wa kikongo ndio wanatengeneza nywele vizuri kuliko wadada wa kibongo....Nooo hapa kilichokuwepo ni imani tu kwa wateja wa salon za kike. Lakini ukweli ni kwamba hata wadada wanatengeneza nywele vizuri sana kama wakaka au hata zaidi ya wakaka
 
Ukimkosa au ukamkuta yuko busy....basi ni PM ili nikuelekeze somewhere uende na watakuweka kucha za Gel....gharama yake like tsh 40,000 na utaspend like 2 hrs ndani ya salon hadi kumaliza
hakuna shida,kukaa salon masaa nane ni kawaida kabisa kwa mwanamke, Mr Kucha nimemkuta na ndio ananipaka base coat kwenye kucha saa hii
 
mwanzo wa ushoga ni kufanya kazi za kike kupaka kucha rangi akidada mtakosa mabf maana wataanza kukaa kikikekike na ni janga men unapakapaka rangi mabinti nawe unatamani kupakwa au kuliwa then ushoga uliza ulianzaje ni kwa men kutofanya yanayomhusu then kukimbilia mambo ya ukeni mwisho mnamfundisha mnayofanya huko ukeni then mashoga na kuna uhusiano wa utu wa mtu na kazi anayofanya! Man how can you paint women nails??
Kwanza nakushangaa unashadidia kupaka rangi tu wewe! Hivi unajuwa kuwa kunakitu kinaitwa body massage, bikin line,waxing,body scrub,pedicure na manicure? Hivi unajua hii kazi unaifanyaje? maana ungejua ni njia zipi unafanya kwenye section hii ya beauty clinic hakika ungepata wazimu. Maana wewe umepita tu pale mwenge na umeona watu wanapaka rangi tu nje na umelipuka' lol! shame on u.
Eti unasema huo ndiyo mwanzo wa wa ushoga.....unataka kuniambia hawa mashoga wote wametokana na kazi za saloon? amka kaka dunia inakimbia than u think
 
hakuna shida,kukaa salon masaa nane ni kawaida kabisa kwa mwanamke, Mr Kucha nimemkuta na ndio ananipaka base coat kwenye kucha saa hii
Ok akishamaliza kukuweka hiyo topcoat mwambie akupake top coat ya Gel brush moja tu kisha akuweke kwenye mashine yake....utaona matokeo yake! yaani utakaa na hiyo rangi hadi mwezi mmoja bila mikwaruzo wala kutoka
 
asante sana kwa ushauri...unajua mambo mengi mno wewe....
 
halafu mwanaume akigeuka shoga mnaanza oh sijui blah blah mwanzo wa mwanaume kuliwa kiboga ni kusuka wanawake ,kupaka kucha rangi sababu anaiga vitabia vya kike baadaye wanamgeuza,wanawake mnashindwa kupakana rangi wenyewe ndo maana wanaume hawaoi ataoa vipi wakati tayari kashakuwa jike this country bana hey man get off that shit job pls!
ushoga hauusiani na kazi wewe, mbona wapishi wengi wa hotel ni wanaume ila sio mashoga? Vipi waimba taarabu wanaume. Heshimu kazi za watu. Kwanza nahisi wanakuzidi kipato wale.
 
teh teh teh unaonekana una wivu wewe! unaona jamaa anafaidiiii ile mbaya, basi na wewe fungua ofisi kama hiyo ya jamaaa!
 
Kwanza nakushangaa unashadidia kupaka rangi tu wewe! Hivi unajuwa kuwa kunakitu kinaitwa body massage, bikin line,waxing,body scrub,pedicure na manicure? Hivi unajua hii kazi unaifanyaje? maana ungejua ni njia zipi unafanya kwenye section hii ya beauty clinic hakika ungepata wazimu. Maana wewe umepita tu pale mwenge na umeona watu wanapaka rangi tu nje na umelipuka' lol! shame on u.Eti unasema huo ndiyo mwanzo wa wa ushoga.....unataka kuniambia hawa mashoga wote wametokana na kazi za saloon? amka kaka dunia inakimbia than u think
acha matusi mshika chuma najua kila kitu cha huko beauty clinic nimeamua kuchukua kama sample tu ya kupaka kucha rangi ,say what you say ,man who do that shit job they are already suck!
 
Ahsante dada angu kwa kuliona hilo....maana huyu jamaa na baadhi ya watu wanaitazama kazi hii kwa macho 2 tu....nilipenda waitazame kwa jicho la 3 pia. Ila siyo kweli kuwa wakaka wa kikongo ndio wanatengeneza nywele vizuri kuliko wadada wa kibongo....Nooo hapa kilichokuwepo ni imani tu kwa wateja wa salon za kike. Lakini ukweli ni kwamba hata wadada wanatengeneza nywele vizuri sana kama wakaka au hata zaidi ya wakaka
siku hizi sio wakongo tu. Nimetoka saluni sahv mkaka wa kichaga kaniseti. Ukiniona mwenyewe utanitamani. Hahahaha! Siku hz hakuna kazi ya kike wala kiume. Wanawake wenyewe zege tunabeba.
 
asante sana kwa ushauri...unajua mambo mengi mno wewe....
Ofcorz.....sisi ndiyo wenyewe, sisi ndiyo wachina wa UK,USA,HOLLAND,JAPAN nk.ndani ya bongo na sisi ndiyo tunaofanya hii game iwe juu.
Karibu sana kwenye ulimwengu wa beauty clinic
 
Wee unastaajabu wanaopaka rangi kucha? wako wanaowafanyia massage ya mwili mzima na wanalipa juu.

Kwa kifupi haifai kabisa.
 
Back
Top Bottom