bikin line ndio ipoje hyo nikajaribu?
Unaenda salon zinazotoa huduma ya wax so as to remove unwanted hair around ure pubic area down...aka brazillian wax...need i say mo??
bikin line ndio ipoje hyo nikajaribu?
Wala isikutishe hawa ni wenzako tu! ila kilakitu ni maamuzi na kila mtu anapanga maisha yake mwenyewe.....pia mtu ujikuna pale anapojifikia.
Kuhusu costumer care hapo ndiyo usipime wangu!....yaani sisi cha kwanza ni costumer care and kno ur costumer na mengine yanafuatia.
Kuhusu artificial things hilo ni swala lingine na linahitaji mjadala mpana sana! ila niseme tu hakuna kitu ambacho most of wanawake wanapenda kama nywele zao,kucha na sura zao....na %80 ya huduma ya hivyo vitu 3 ni artificial matirial na vinacost pesa sana....na pia usisahau kuwa urembo ni gharama
Mkuu kwanza uelewe mimi ni HE na si SHE.....tukirudi kwenye mada ni kama nilivyokuelezea toka awali kuwa hii ni kazi tu kama kazi nyingine.....mfano ni kama pale madoctor wanapowapapasa wadada na wamama kwenye haya mahospital yetu au pale fundi wa nguo za kike anapompima mteja wake size ya kiuno kuendana na nguo yake. kwahiyo hapa hakuna swala la kizingizio'ila hapa kunakitu kinaitwa kufuata huduma kama unavyozifuata huduma nyinginenaomba turudi kwenye mada wapendwa maana naona mnaanza matangazo ya huduma zinazopatikana kwenye office zenu.hoja ya msingi mnaridhika wanaume kushika miguu kisingizio kupaka rangi??
Nashukuru kwa kumuelewesha dada angu huyu....maana mimi nashindwa kabisa kuelezea in deep section hiyo hapa hadharani kutokana na unyeti wakeUnaenda salon zinazotoa huduma ya wax so as to remove unwanted hair around ure pubic area down...aka brazillian wax...need i say mo??
thanx sana.Unaenda salon zinazotoa huduma ya wax so as to remove unwanted hair around ure pubic area down...aka brazillian wax...need i say mo??
ntavumilia mwanzo mwisho.Lakini inamaumivu kidogo.....siku ya kwanza yakupasa uwe mstahimilivu kidogo'lakini ukishazowea ni kama kumsukuma mlevi tu
Najifunza kwamba hamna ubaya wowote mtu kujipa kile anachotaka.Kama mtu ana uwezo na anataka kwenda kupakwa rangi na mkaka saluni poa tu...kama anajipaka mwenyewe poa tu...kama mpenzi wake anampaka vile vile poa ili mradi mhudumiwa na mhudumia wote hawana tatizo lolote.Mmh dada Lizzy!....naona unafatilia mjadala huu kwa karibu sana! Je unajifunza au umejifunza nini?
Yaah forsure....umenena vizuri sana!.....unajua mtu anaweza paka rangi mwenyewe "hilo sikatai" lakini linapokuja swala la kupendeza zaidi ni lazima uende saloon.....mfano kunakitu kinaitwa french ya griterz'hii ni ngumu sana mwanamke kujipaka mwenyewe! ni lazima utahitaji mtu profeshino ili akupake na upendezeNajifunza kwamba hamna ubaya wowote mtu kujipa kile anachotaka.Kama mtu ana uwezo na anataka kwenda kupakwa rangi na mkaka saluni poa tu...kama anajipaka mwenyewe poa tu...kama mpenzi wake anampaka vile vile poa ili mradi mhudumiwa na mhudumia wote hawana tatizo lolote.
Nimeshafika home sasa.....karibu popcorn na juice ya guavantavumilia mwanzo mwisho.
Yaani si wenzangu ki-lifestyle.......................inategemea mtu anachukulia vipi urembo..........hakuna mwanamke asiyependa kuwa mrembo..............ila nadhani kila kitu kiwe kwa kiasi.......................ni mtazamo wangu tu my dear.
Usijari my dear.....kama bado unaswali kuhusiana na mambo ya urembo niulize tu....kama litakuwa ndani ya uwezo wangu nitakujibu tuYaani si wenzangu ki-lifestyle.......................inategemea mtu anachukulia vipi urembo..........hakuna mwanamke asiyependa kuwa mrembo..............ila nadhani kila kitu kiwe kwa kiasi.......................ni mtazamo wangu tu my dear.
Unaenda salon zinazotoa huduma ya wax so as to remove unwanted hair around ure pubic area down there...na brazillian wax ni kuziondoa zote...need i say mo??
And who is doing that? Hata kama ni mwanamke mwenzangu siko tayari kumvulia chupi aisee. Hayo mambo mengine hacha yatupite tu.
Hapo sasa ni choice iz ur'z....ukipenda kufanyiwa na staff wakike sawa....au ukipenda kuhudumiwa na staff wa kiume pia ni sawa tu....yaani hapo ni wewe tuAnd who is doing that? Hata kama ni mwanamke mwenzangu siko tayari kumvulia chupi aisee. Hayo mambo mengine hacha yatupite tu.
Walio wengi ni rijali....ila linapokuja swala la kazi huna budi kuzuia hisia zako kwa kumlinda mteja ili aendelee kuja na ofisi iendelee kuingiza pesakama ni mwanaume rijali??????????
Hapo kwenye kupendeza zaidi lazima uende saloon sikubaliani nawe hata chembe.Wengine hatujaenda saloon miaka na bado tunaamini tunapendeza nevertheless.Urembo wa mtu anaujua mtu mwenyewe...sio lazima wote tuweke kope/kucha na nywele za bandia kupendeza.Au kupaka unachoongelea....na kupaka hayo yote bado sio guarantee ya kupendeza kwahiyo usijaribu kutudanganya tukabanane huko saloon kwakuamini bila hivyo hatuwezi kupendeza!Yaah forsure....umenena vizuri sana!.....unajua mtu anaweza paka rangi mwenyewe "hilo sikatai" lakini linapokuja swala la kupendeza zaidi ni lazima uende saloon.....mfano kunakitu kinaitwa french ya griterz'hii ni ngumu sana mwanamke kujipaka mwenyewe! ni lazima utahitaji mtu profeshino ili akupake na upendeze
Mkuu kwanza uelewe mimi ni HE na si SHE.....tukirudi kwenye mada ni kama nilivyokuelezea toka awali kuwa hii ni kazi tu kama kazi nyingine.....mfano ni kama pale madoctor wanapowapapasa wadada na wamama kwenye haya mahospital yetu au pale fundi wa nguo za kike anapompima mteja wake size ya kiuno kuendana na nguo yake. kwahiyo hapa hakuna swala la kizingizio'ila hapa kunakitu kinaitwa kufuata huduma kama unavyozifuata huduma nyingine
Hapo kwenye "kupendeza zaidi lazima uende saloon" sikubaliani nawe hata chembe.Wengine hatujaenda saloon miaka na bado tunaamini tunapendeza nevertheless.Urembo wa mtu anaujua mtu mwenyewe...sio lazima wote tuweke kope/kucha na nywele za bandia kupendeza.Au kupaka unachoongelea....na kupaka hayo yote bado sio guarantee ya kupendeza kwahiyo usijaribu kutudanganya tukabanane huko saloon kwakuamini bila hivyo hatuwezi kupendeza!