kwani kucha ndio zinafanya.................................Halafu mara nyingi hii kazi hufanywa na wakongoman, sijui wanawapa nini dada zetu duh!
kweli wanawake mna mambo!Mabinti wenyewe ndicho wanachopenda, wewe weka salon yako wahudumu wakiume then uone watakavyomiminika, si walichasema hata gari ya kuendesha 'ke' mwenzao hawapendi.
Ahahahahaah!!!! Sikuiponda bana, japo ni kazi lakini siikubali....Muongo mkubwa wewe!.....siku ile si uliiponda wewe? au nikukumbushe ulivyosema? anyway nimekusamehe mkuu
huwa wanajua kupaka rangi sana na kuchora........wanawake wengi hawajui kuchora..........sijui nimekujibu?
si sawa na ni sawa!mm nazungumzia mwanaume kupaka kucha rangi ni kama wameingilia ajira ambayo ni maalum kwa akina dada najua hakuna ubaguzi kwenye maswala ya ajira na kila mtu anauhuru wa kufanya kazi anayoipenda,"ulishajiuliza kwanini madereva wote wa daladala ni wanaume"si kwamba ladies hamwezi kuendesha daladala ila muktadha wa kazi ilivyo unamfaa mwanaume pekee ,so kuwapaka wanawake kucha rangi haiendani na wajih wa mwanaume,mdada kuwa salon ya kiume she fit to be there coz nature ya kazi inamfaa kuifanya!Na nyie mnavyoenda saluni kuoshwa videvu na kutekenywa masikio then mkimaliza mnachukua na namba zao za cm! Hiyo ni sawa?