Wanaume kupaka rangi kucha mabinti

Wanaume kupaka rangi kucha mabinti

Hapana mie sijasema kama wewe usuki nywele za heshima....kwanza sijajua kama huwa unaenda salon au lah.....na kama unaenda basi sijui unaenda salon gani. Ila naamini kitu kizuri ambacho utapata pale mwenge ni kusuka tu' lakini siyo style zote....wanasuka baadhi ya style
Na mie ndo wa huko huko.Haya tusikie hiyo misuko yenye heshima na isiyo na heshima basi.......!
 
Mshkachuma nasikia wale wanaobandika kope kila dakika huwa wana blink.
Kwanza huwezi bandika kope kila wakati.....yakupasa ukae na kope for 3 weeks kisha uje tena salon ili tukutoe na dawa yake.
Kuhusu kublink ndiyo kwanza nakusikia wewe dada
 
Na mie ndo wa huko huko.Haya tusikie hiyo misuko yenye heshima na isiyo na heshima basi.......!
Mmh dada Lizzy wewe! ndiyo maana nikasema kitu ambacho utaweza kupata mwenge baadhi ya misuko tu.....na kwa kawida hata ukisuka Salsa za yebo yebo ni lazima upendeze na ni msuko wa heshima tu....kwa hili hata mwenge wanaweza sema yale mazingira ya kusukana nje ndiyo tatizo
 
Kaaazi kweli kweli!Mbona wengine hiyo nje ndo tunaifurahia ?!
 
Kaaazi kweli kweli!Mbona wengine hiyo nje ndo tunaifurahia ?!
Sasa ujue kunawaheshimiwa VIP ndani ya Tanzania (nazungumzia wakina mama) hawawezi kuja pale mwenge na kufanyiwa hizo huduma pale nje....sasa sisi tunadili na watu kama hao....wanatufata kwa hajili ya huduma bora, mazingira bora,na parking bora
 
Lizzy ukienda salon za kiprofeshino' unawekwa weaving vizuri sana,kucha vizuri sana na hata hizo kope vizuri sana na hautojua kama huyu mtu amebandika kope! na hivyo vyote unakaanavyo kwa mda mrefu sana.....na unakuwa free kufanya kazi zote na havitoki wala kuvimba.....sema baadhi ya salon za uswazi ndizo zinatuharibia

Kumbe Lizzy huna kope eeh???...............yaani macho haya haya tunayokesha nayo kwenye mionzi ya kompyuta......haya haya yananyopambana na jua kali la mchana.....................haya haya yanayopambana na vumbi.........haya haya tukayabandike nyusi "kwa kutumi dawa/gundi maalum".....ukija kutoa.........wanatumia tena "dawa" maalum.........tujihurumie jamani.

Mshikachuma mi hujanipata........................na huyo Lizzy nikijua kaja huko...................tutaweka kikao cha ukoo!
 
Jamani usiku mwema....acheni nipumzike kwani kesho saa 7.30 am nina appoitment na muheshimiwa waziri fulani kwa kazi fulani.
Shukrani za pekee zimfikie muanzilishi wa mada hii na wote muliochangia. Am sure wote kwa pamoja kunakitu tumejifunza kutokana na mada hii.
Ahsanteni sana na usiku mwema! - By Najee mshikachuma
 
Sasa ujue kunawaheshimiwa VIP ndani ya Tanzania (nazungumzia wakina mama) hawawezi kuja pale mwenge na kufanyiwa hizo huduma pale nje....sasa sisi tunadili na watu kama hao....wanatufata kwa hajili ya huduma bora, mazingira bora,na parking bora
Aiseee...acha sie tusio bora tung‘ang‘ane na huduma zisizo bora bila kusahau misuko isiyo na heshima!ASANTENI na KWAHERINI!
 
Kumbe Lizzy huna kope eeh???...............yaani macho haya haya tunayokesha nayo kwenye mionzi ya kompyuta......haya haya yananyopambana na jua kali la mchana.....................haya haya yanayopambana na vumbi.........haya haya tukayabandike nyusi "kwa kutumi dawa/gundi maalum".....ukija kutoa.........wanatumia tena "dawa" maalum.........tujihurumie jamani.Mshikachuma mi hujanipata........................na huyo Lizzy nikijua kaja huko...................tutaweka kikao cha ukoo!
Hahahhaha...Ballerina mimi na wewe ni Mwenge tu tena tukiwa tunajiandaa kwenda kula krisimasi nndei...
 
Sasa ujue kunawaheshimiwa VIP ndani ya Tanzania (nazungumzia wakina mama) hawawezi kuja pale mwenge na kufanyiwa hizo huduma pale nje....sasa sisi tunadili na watu kama hao....wanatufata kwa hajili ya huduma bora, mazingira bora,na parking bora

Mi labda uniambie wapi wanakouza ile WAX, nina kazi nayo!Au unielekeze wanavyotengeneza ya asili................nitakushukuru zaidi.
 
Hahahhaha...Ballerina mimi na wewe ni Mwenge tu tena tukiwa tunajiandaa kwenda kula krisimasi nndei...

Umejuaje.....................yaani tunapendezaje???...............mwenzio 'kibobo" changu karibu kitajaa...........nikija kubomoa tu.......................break ya kwanza mwenge kwa msusi wangu.............................................

natamani siku hiyo tukutane na Mshikachuma ......................akiwa ndio anatoka kuwamassage waheshimiwa!...........teh teh teh......................
 
Mshika chuma wewe unafanya hii kazi? Naona unaijua sana halaf unaitetea ile mbaya. Safety last sijui yuko wapi.
nlikuwa nimelala nimestuka naona na mada yangu imeshabadilishwa imekuwa mambo ya huduma kwenye hizo salun za kike haya endeleeni ila msirudie tena kuchakachua mada za muanzisha uzi,by the way kuna vitu najifunza huku "bikin line"asanteni wote mliojitokeza kuchangia sikutegemea tungefika huku zimeporomoshwa idea nzuri tu, ushauri wangu akina dada acheni kujiwekaweka hayo mawigi ,sijui kukata kope, mwanamke anayenyoa au mwenye dread fupi sio kama za bob, huwa ananivutia sana be original why are u copy copy
 
And who is doing that? Hata kama ni mwanamke mwenzangu siko tayari kumvulia chupi aisee. Hayo mambo mengine hacha yatupite tu.

the one doing that is an expert in that...especially salon za kihindi za ladies wafanyakazi ni waswahili they r well trained n gud at that...wala hauvui chupi we nenda utaona wanavofanya...kama ni mwanaume you can have that @ SPA N MASSAGE PARLOURS
 
Mi labda uniambie wapi wanakouza ile WAX, nina kazi nayo!Au unielekeze wanavyotengeneza ya asili................nitakushukuru zaidi.

Wax ya asili: chemsha sukari kg moja then itatokea kama asali hvi then wapaka kwenye ngozi kwa kutumia spatula/kisu au something bapa, ikiwa ya moto unapuliza hih hiii hiiii.... afta that wachukua waxing stripe kama huna nenda supmartkt au kitambaa na kubandika juu yake kama unagundishia vile then wavuta kama unabandua sticker mahali,,,kwishney habari ya nywele-u do this twice/thrice until all the hair is gone..huko salon kuna heater za kuchemchia sukari...kwanza umeuliza yatengenezwaje me nimejibu na ucvyotaka sory,,,,
 
Sasa ikiwa yamoto si itaniunguza.................nikisubiri ipoe inakuwa ngumu kama jiwe........................nimewahi kutegeneza nikashindwa hapo...............wakati iko kama uji/asali inakuwa ya moto.....huwezi hata kuishika..........................nilidhani nimekosea...............nilichanganya
sukari,maji na ndimu kama nilivyosikia redion siku moja.............tatizo hawakuelekeza vizuri
 
Wanawake mnao weka miguu pande mbele ya hawa madume mnatekenywa mpaka mnasinzia hii imekaaje kuna mmoja hapa mwenge yaani mabinti wapo wamejaa kwake ndo najiuliza kuna kitu zaidi ya rangi kwenye miguu wanapata hawa wenzetu?
Halafu mara nyingi hii kazi hufanywa na wakongoman, sijui wanawapa nini dada zetu duh!
 
Back
Top Bottom