Wanaume kupaka rangi kucha mabinti

Wanaume kupaka rangi kucha mabinti

...............hebu fikiria mwenyewe..............unakutana na mdada....................rangi ya bandia,nywele za bandia,kucha kabandika,kope kabandika......chaaaa!Mi nachoka kabisa...........yote hiyo kutokujiamini!
kuna wengine wanakuwa kama vinyago. Unatamani kumwambia shogaa hebu toa hilo dude kichwani. Mtoto wa kike Mikucha hiyo tena vidole vyote, hata downstairs sijui wanajisafishaje.
 
kuna wengine wanakuwa kama vinyago. Unatamani kumwambia shogaa hebu toa hilo dude kichwani. Mtoto wa kike Mikucha hiyo tena vidole vyote, hata downstairs sijui wanajisafishaje.

actually ukikuta mdada kabandika kucha zote bandia
ni habari tosha kuwa kule chini mchafu
 
Mpe ukweli huyo Lizzy...............hebu fikiria mwenyewe..............unakutana na mdada....................rangi ya bandia,nywele za bandia,kucha kabandika,kope kabandika......chaaaa!Mi nachoka kabisa...........yote hiyo kutokujiamini!
Yaaani...unakuta mtu akitaka kuguswa kichwa na mpenzi anaruka utadhani kachomwa sindano ghafla...kucha hataki kugusa maji eti zitabanduka au zitaharibika...kope nazo ukiangalia urefu umezidi ukubwa wa macho...nyusi nazo kanyoa na kuchora akiondoa mchoro anabaki kituko.Yani ni full plastic...kubebana na mizigo yote hiyo ya kazi gani?!
 
Hapo kwenye bold.............nimejikuta nacheka..............anakuwa kama wale wanasesere tuliotumia enzi hizo.................

Waache wafurahie maisha...................nao wana type zao..........ambao wanajua kabisa "nikiwa na fulani........nywele marufuku kugusa........kucha niguse kwa tahadhari...............macho niache kama yalivyo".......................
 
Yaaani...unakuta mtu akitaka kuguswa kichwa na mpenzi anaruka utadhani kachomwa sindano ghafla...kucha hataki kugusa maji eti zitabanduka au zitaharibika...kope nazo ukiangalia urefu umezidi ukubwa wa macho...nyusi nazo kanyoa na kuchora akiondoa mchoro anabaki kituko.Yani ni full plastic...kubebana na mizigo yote hiyo ya kazi gani?!
Duh we nowmaaaa!!
 
Hapa unadanganya bana..........tofauti ipo.........................mwanamke kupimwa nguo na fundi hakufanani na kufanyiwa massage na mpaka rangi mwanaume................kitendo cha massage peke yake chaweza kuwa sehemu ya maandalizi (fore play) kwa mwanamke/mwanaume.

Kumbuka hii massage inafanywa na vijana wakiume.....................na kuna wadada/wanawake ambao miguu au nyayo zao................ni miongoni mwa sehemu zenye msisimko wa kimapenzi........................ukikuta na kaka mwenyewe anayake moyoni + nidhamu ya kazi zero,

....................inakuwa tafrani..............mimi hii naona ni changamoto............hata kama wengine hamkubali,iko hivyo!
Anyway nilikuwa napata sapper....but am back again....,
Kama nilivyokuelezea toka awali kuwa kama utaichukulia hii fani kama ndiyo kazi yako inayokuweka mjini basi huna budi kuiheshimu na kufuata kanunu zake. Kwa mfano %80 ya wateja wa kiume ambao wanakuja kufanya massage wanapenda sana kufanyiwa na staff wa kike kwa hisia za kuwa wakiwa kule ndani labda atamsomesha ili wafanye majambozi....lakini mwisho wa siku hakuna anachoambulia zaidi ya ile massage tu....so kwa hapa utakuta staff anajuwa wajibu wake ni nini na pia anajua miiko ya kazi yake. Tukija kwa wakina mama hapa naweza sema tena kwa SAUTI KUBWA %100 ya wanawake wanaokuja kufanya massage,waxing na bikin line'wote wanajiheshimu na wanakuja ki huduma tu na si vitu vingine....yaani sijawahi kumuhudumia mteja wa kike ndani ya clinic room ambae anaonesha yuko kimalengo fulani....Nooo kwa hapa nasema hapana! wanawake wanajiheshimu sana wawapo saloon au inside clinic room.....na waliowengi hawapendi kuongea wakiwa kwenye huduma hii....utakuta wanaomba mziki nyororo kwa sauti ya chini kabisa huku akiwa amelala kwa kufumba macho kusikilizia kazi ya mikono yako wewe muhudumu and nothing more
 
Mshika chuma wewe unafanya hii kazi? Naona unaijua sana halaf unaitetea ile mbaya.
Safety last sijui yuko wapi.
 
Hapo kwenye bold.............nimejikuta nacheka..............anakuwa kama wale wanasesere tuliotumia enzi hizo.................Waache wafurahie maisha...................nao wana type zao..........ambao wanajua kabisa "nikiwa na fulani........nywele marufuku kugusa........kucha niguse kwa tahadhari...............macho niache kama yalivyo".......................
Hahhaha....yani kaaazi kweli kweli.Hata hivyo acha wawepo maana wote tukisema hatutaki kina MSHIKACHUMA watakosa kazi/biashara za kufanya!
 
kuna wengine wanakuwa kama vinyago. Unatamani kumwambia shogaa hebu toa hilo dude kichwani. Mtoto wa kike Mikucha hiyo tena vidole vyote, hata downstairs sijui wanajisafishaje.
Kundi unalolizungumzia wewe ni kundi la wasichana wasiyotulia wala kujiheshimu....kwa bahati mbaya wadada kama hawa ni nadra sana kuja ofisini kwetu kutokana na mazingira na hata bei zetu pia.....hawa utawakuta salon za mwenge na sinza. Sisi tunadili na wanawake wenye heshima zao....wanasuka nywele za heshima,weaving za heshima na kucha za heshima.
 
Mshika chuma wewe unafanya hii kazi? Naona unaijua sana halaf unaitetea ile mbaya.
Safety last sijui yuko wapi.
Safety last kaingia mitini.....maana kakutana na hoja mzito na kashindwa kupambananazo....kwaufupi amekubali kuwa kazi ya salon ni kazi tu kama kazi nyingine
 
Kundi unalolizungumzia wewe ni kundi la wasichana wasiyotulia wala kujiheshimu....kwa bahati mbaya wadada kama hawa ni nadra sana kuja ofisini kwetu kutokana na mazingira na hata bei zetu pia.....hawa utawakuta salon za mwenge na sinza. Sisi tunadili na wanawake wenye heshima zao....wanasuka nywele za heshima,weaving za heshima na kucha za heshima.
Hahahahhha!Eti “wanasuka NYWELE ZA HESHIMA...WEAVING ZA HESHIMA na KUCHA ZA HESHIMA.“ Ndo zinakuaje hizo?!Na zisizo naheshima zinatuzosuka Mwenge nazo zinakuaje?!Hus na Balle kweli tunakosa mengi....maana hatusuki nywele za heshima!
 
Yaaani...unakuta mtu akitaka kuguswa kichwa na mpenzi anaruka utadhani kachomwa sindano ghafla...kucha hataki kugusa maji eti zitabanduka au zitaharibika...kope nazo ukiangalia urefu umezidi ukubwa wa macho...nyusi nazo kanyoa na kuchora akiondoa mchoro anabaki kituko.Yani ni full plastic...kubebana na mizigo yote hiyo ya kazi gani?!
Lizzy ukienda salon za kiprofeshino' unawekwa weaving vizuri sana,kucha vizuri sana na hata hizo kope vizuri sana na hautojua kama huyu mtu amebandika kope! na hivyo vyote unakaanavyo kwa mda mrefu sana.....na unakuwa free kufanya kazi zote na havitoki wala kuvimba.....sema baadhi ya salon za uswazi ndizo zinatuharibia
 
Hahahahhha!Eti “wanasuka NYWELE ZA HESHIMA...WEAVING ZA HESHIMA na KUCHA ZA HESHIMA.“ Ndo zinakuaje hizo?!Na zisizo naheshima zinatuzosuka Mwenge nazo zinakuaje?!Hus na Balle kweli tunakosa mengi....maana hatusuki nywele za heshima!
namshanga huyu! Nywele za heshima twende kilioni au! Mtu anakuja na pesa yake utampangia cha kusuka! Hzo nywele za wafu toka lini zikawa za heshima. Huyu inabidi alipie maana naona yupo kwenye matangazo ya biashara.
 
Mshkachuma nasikia wale wanaobandika kope kila dakika huwa wana blink.
 
Lizzy ukienda salon za kiprofeshino' unawekwa weaving vizuri sana,kucha vizuri sana na hata hizo kope vizuri sana na hautojua kama huyu mtu amebandika kope! na hivyo vyote unakaanavyo kwa mda mrefu sana.....na unakuwa free kufanya kazi zote na havitoki wala kuvimba.....sema baadhi ya salon za uswazi ndizo zinatuharibia
Ohhh puhhhleeeeez!Nwy vyovyote vile sidanganyiki wala sishawishiki.Besides....kucha zangu sipendi kupaka sana rangi ili kama kuna kauchafu nione.Kope zinanitosha...na nywele naprefer kusuka rasta au kuachia zangu hata kama zaweza kua sio ‘za heshima‘.
 
Hahahahhha!Eti "wanasuka NYWELE ZA HESHIMA...WEAVING ZA HESHIMA na KUCHA ZA HESHIMA." Ndo zinakuaje hizo?!Na zisizo naheshima zinatuzosuka Mwenge nazo zinakuaje?!Hus na Balle kweli tunakosa mengi....maana hatusuki nywele za heshima!
Hapana mie sijasema kama wewe usuki nywele za heshima....kwanza sijajua kama huwa unaenda salon au lah.....na kama unaenda basi sijui unaenda salon gani. Ila naamini kitu kizuri ambacho utapata pale mwenge ni kusuka tu' lakini siyo style zote....wanasuka baadhi ya style
 
Back
Top Bottom