Hii inapunguza gharama na kuokoa muda pi;
Kama ni binti/mwanamke................nakushauri nunua rangi zako upendazo,remova pamoja na vyoote vinavyohusika na urembo wa kucha zako.........................................................Tafuta katrei kadogo weka vitu vyako ........................na kila unapohitaji kurekebisha kucha zako....................fanya hivyo ukiwa nyumbani.
Mkuu kunawatu walijaribu kuweka vitu vyote hivyo nyumbani including madryer na wameshindwa mchana kweupee.....asikudanganye mtu salon ni salon.....salon ni moja ya sehemu za kupumzisha ubongo wako....na kuhudumiwa kua raha yake kuliko kujitengeneza mwenyewe
Mnataka kuniambia hamjui kusafisha kucha...................kufanya scrub...................na kumassage......................... kama wafanyavyo wale wakaka wa mwenge?.....................................wenza wenu/waume zenu wanasafishwa na nani?.................................wanafanyiwa massage na nani?...................................
Hamjawazoesha hata haya ya kawaida....................ndio maana hata mkiwaita kuwapatia huduma ya gillete wanaanza marathon...............