Wanaume, kuleni hili tunda!

Wanaume, kuleni hili tunda!

Ninacho jamani hiko kiungo
Kwaajili ya kuhamasisha ngono tu, hii inaonesha kwamba kuna wanaume wengi sana wanamatatizo ya upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo wengi wanakula piza badala ya dona wanakula chips badala ya kula mihogo,karanga, miwa, salad, mafenes,malimau,matunda ya asili ,mboga za majani, maharage, uyoga, na mengine mengi. Acheni kujidhalilisha wanaume. Una mke unampa kimoja tu umelala why?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo nilikuwa nikiyaona kila siku nikiwa mdogo, Ila sina kumbukumbu ya kuwahi kuyala. Ninachokimbuka ni hiyo "Tabia yake" ambayo ilimbatanishwa kwenye jina lake.

Haha ! Mleta uzi kasema wale wanaume tu waliopo kwenye ndoa. Bahati mbaya zaidi sipo kwenye ndoa. Nikiwa kwenye ndoa ntakuja na mrejesho haha kama kweli yanaleta furaha haha !
Haukuyala? Itakuwa hayakuwa karibu na shule uliyowahi kusoma. Ungeyala tuu.

Jaribu tuu kabla haujaoa, si una girlfriend? Test tuone. Ndoa ni makaratasi tuu (udhibitisho).
 
Kwaajili ya kuhamasisha ngono tu, hii inaonesha kwamba kuna wanaume wengi sana wanamatatizo ya upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo wengi wanakula piza badala ya dona wanakula chips badala ya kula mihogo,karanga, miwa, salad, mafenes,malimau,matunda ya asili ,mboga za majani, maharage, uyoga, na mengine mengi. Acheni kujidhalilisha wanaume. Una mke unampa kimoja tu umelala why?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wamekusikia lutemi.

Nina swali chokozi kidogo hapo uliposema "Una mke unampa kimoja tu umelala why?". Na swali lenyewe ni hili.

Ukiwa na 'mke' unatakiwa umpe vingapi ndipo ulale?
From my (F 28) experience, najua idadi ya mishindo inategemea na mwanaume anatumia muda gani kufika mshindo.

Kuna mwanaume yeye anamrishisha mwanamke hadi mwanamke anatosheka, kisha na yeye ndio anaenda kufika mshindo. Huyu nae akifanya "kimoja chali " unamweka kwenye hilo kundi?.

Au unamaanisha nini?
 
Haukuyala? Itakuwa hayakuwa karibu na shule uliyowahi kusoma. Ungeyala tuu.

Jaribu tuu kabla haujaoa, si una girlfriend? Test tuone. Ndoa ni makaratasi tuu (udhibitisho).
Yalikuwepo mtaani. Hata shule niliyosoma O-level eneo nililokuwa nafanya house chores kulikuwa na garden ambayo yalikuwa yamejaa hapo, Ila sikumbuki kuwahi kuyala.

Eti ndoa ni makaratasi tu. Nisije nikatest kwa girlfriend halafu akagoma kuolewa bure.
 
Kwanini agome kuolewa? Na wakati ndiyo atakuganda vya kutosha.
Au unamaanisha hauna mpango wa kumuoa wewe so atagoma kuolewa na mwanaume mwingine.?
 
Mtoa uzi katoa angalizo. Mtu anaweza ghairi kwa kuhofia kuteseka ndani ya ndoa. Maana akitafakari ni kwa namna gani ataweza kabiliana na hizo shuruba asubuhi, mchana na usiku for the rest of her life.
 
Papa Mobimba,
Mmeshashitukia kuwa watu wamemaliza kula matunda yote ya mjini hakuna kinachotokea sasa mnaleta matunda pori...!
 
Mtoa uzi katoa angalizo. Mtu anaweza ghairi kwa kuhofia kuteseka ndani ya ndoa. Maana akitafakari ni kwa namna gani ataweza kabiliana na hizo shuruba asubuhi, mchana na usiku for the rest of her life.
Basi itabidi umsubiri umuoe kwanza.
Asije kukimbia.
 
Nimeyala sana utotoni yaani saaana ! Yana balaaa kwenye kufurahisha nnya kweli kweli, ila kuhusu nguvu za kiume sijui, ila ipo miti pori naijua ni Moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom