Wanaume, kuleni hili tunda!

Wanawake tukitumia inakuwaje? Mimi nimeyala sana enzi hizo nikiwa mdogo mdogo. Tulikuwa tunayaita 'mafurahishaa". Hivyo vimiba vyake vikikuingia ni kero, unawashwa sana.
Sikuona madhara
Enzi hizo,kipindi hicho ulikuwa mtoto. Genye zilikuwa bado kwa bibiake. Kula sasa utaona mbilimbe yake. Utanitafuta mwenyewe usiku wa manane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukikulia mjini au kwenye vijiji vile ambavyo vyakula ni vingi na hakuna njaa njaa, kuna vitu vingi sana unajikuta hujui kama hua vinaliwa.

Nimekulia nzega wilayan hapo njaa kama dozi ila watoto wengi hatukujua kama yanaliwa kbs mpk umri huu nilionao ndio naona mnasema hapo juu
 
Miye nipe laki ikae humu mfukoni hata kwa mkopo tu uje kuulizia home. Nakuambia sina haja ya furahisha yako nipo fiti sana nikiwa na kitu kwa pocket. Sina haja ya kwenda kula miiba miye. Hata kulichuma ni kazi
 
Kama ilivyo piripiri wakati wa kutoka ndivyo tulivyo tunda hili linawashwasha wakati wa kutoka na kukushawishi ujinanihii, siyo zuri kwa wanaume labda mashoga na ndipo jina la furahisha lilipotokea.
 
Wanawake tukitumia inakuwaje? Mimi nimeyala sana enzi hizo nikiwa mdogo mdogo. Tulikuwa tunayaita 'mafurahishaa". Hivyo vimiba vyake vikikuingia ni kero, unawashwa sana.
Sikuona madhara
Ngoja nikulie hilo tunda
 
Paula Paul,
Paula Paul naomba uelewe kwamba mwanaume bao la kwanza huwa la haraka sana kwa sababu ya hamu kuwa kubwa sana. Na kwahiyo kama maandalizi ya kumwandaa mwanamke kwa muda mrefu mara nyingi wanawake huachwa wakiwa na hisia kali za kujamiiana. Ili mwanamke awe sawa lazima mawili matatu yahusike . Moja ni uzembe na ugonjwa kwa muandaaji
 
Sio wote mabao ya kwanza yanakuwa ya haraka. Labda kama amekaa muda hajasex.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom