Mkuu ukikulia mjini au kwenye vijiji vile ambavyo vyakula ni vingi na hakuna njaa njaa, kuna vitu vingi sana unajikuta hujui kama hua vinaliwa.Mimi kipind nakuwa yalikuwepo nayaona ila hatukujua kama yanaliwa sikuwah kuona mtoto yeyote anatumia mtaan kwetu
Haya ni matunda adimu sana, utawauwa watu kwa presha zaidi manake watayatafuta bila mafanikio.Bahati mbaya sijui Kiswahili chake kingereza yanaitwa Cactus pear
Haha ! Hujamalizia yalikuwa yanaitwa mafurahisha nini?Wanawake tukitumia inakuwaje? Mimi nimeyala sana enzi hizo nikiwa mdogo mdogo. Tulikuwa tunayaita 'mafurahishaa". Hivyo vimiba vyake vikikuingia ni kero , unawashwa sana.
Sikuona madhara
Mafurahisha...( siwezi kumalizia).Haha ! Hujamalizia yalikuwa yanaitwa mafurahisha nini?
Kwanini yanapatikana Arusha tuu kwa hilo jina?We utakuwa ni.wa Arusha...
Yanaitwa mafurahisha mkunduuu.....nimeyala Sana....
Vile vimiba vilikuwa nuksi, vikiingia kwenye sweta kama la shule utashinda unafurahishwa siku nzima.Tabora enzi za udogo mafurahisha tulikuwa tunayapiga kwa majani ya matawi kuondoa vimiiba vyake.
Sijui kwanini yanaitwa mafurahisha, inawezekana kuna kaukweli ndani yake.
Nakumbuka tukiwa wadogo walikuwa wanasema ukiyala hayo matunda basi hicho ambacho umeshindwa kukimalizia kilikuwa kinaanza kucheza cheza. Kwa wewe uliyewahi kuyala, madai hayo ni ya kweli ?Mafurahisha...( siwezi kumalizia).
Yanapatikana sehemu nyingi tu hapa Tanzania ukiachana na Arusha mkuu.We utakuwa ni.wa Arusha...
Yanaitwa mafurahisha mkunduuu.....nimeyala Sana....
Nimecheka!!!!!!!.Nakumbuka tukiwa wadogo walikuwa wanasema ukiyala hayo matunda basi hicho ambacho umeshindwa kukimalizia kilikuwa kinaanza kucheza cheza. Kwa wewe uliyewahi kuyala, madai hayo ni ya kweli ?
Japo nilikuwa nikiyaona kila siku nikiwa mdogo, Ila sina kumbukumbu ya kuwahi kuyala. Ninachokimbuka ni hiyo "Tabia yake" ambayo ilimbatanishwa kwenye jina lake.Nimecheka!!!!!!!.
Wewe haukuyala? Kwa kweli hicho kipindi nayala sikumbuki hama ' nilichoshindwa kuandika ' kilipata mabadiliko au furaha yoyote.
Ila OP amesema kwa wanaume tuu ndio mnafurahiswa. Vipi wewe ulivyokula?
Tutake radhi tafadhali.Yaani wanaume wa karne hii sijui mmepatwa na nini, vinyombolelo havina nguvu mpaka mle sijui vidudu gani, hivi wazee wenu mbona hawakuwa hiviii??? Mnafeli wapi
Sent using Jamii Forums mobile app


Hilo jina najiuliza nani aliyapa jina hilo hayo matunda na kwanini aliyapa jina hilo maana hata kwetu Iringa tulikuwa tunayaita hivyo, mafurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee mimi ndio kwaaanza nimejua humu jamiiforum kwamba haya makitu yanaliwa, hata hivyo bado naona kama sumu vileee...Mimi kipind nakuwa yalikuwepo nayaona ila hatukujua kama yanaliwa sikuwah kuona mtoto yeyote anatumia mtaan kwetu