orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,675
- 4,240
Dada kikubwa hapo ni kupiga goti kwa MUNGU ambae anaweza mmbadilisha yeyote ammbadilishe huyo mpenzi wako naamini ni tamaa tuu ila yote yana mwisho ,mshirikishe MUNGU kwanza kabla ya binadamuTofauti na wengi wanavyosema kuwa ukiwa hivyo unaleta upendo lakini kwangu mimi naona inakuwa tofauti. Badala ya upendo, naonekana kama mtu mjinga ambaye nimekufa na nimeoza kwake kiasi kwamba siwezi kujitetea kwa lolote.