kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,176
Nimekutana na mtu sijui niseme ni mtu sahihi, lakini najiona siko tayari kabisa kuingia kwenye mahusiano wala ndoa bado nina safari ndefu sana ya kuboresha maisha yangu.
Hata hisia za kumpenda mtu nakosa kabisa, namuonea huruma huyu kijana tuliamua tuwe marafiki badala ya kushindikana kwa mahusiano lakini naona mwenzangu anashindwa kabisa
Hata hisia za kumpenda mtu nakosa kabisa, namuonea huruma huyu kijana tuliamua tuwe marafiki badala ya kushindikana kwa mahusiano lakini naona mwenzangu anashindwa kabisa