Hata mimi nimeliona hiloHs hataki tu kukusaidia.
Bora tumefurahi pamoja, maana ule mnuno [emoji57][emoji57] ndio ulionipa raha zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana akili nyingi sana aiseehKajihami kabisa, hahahaaa!
Hata mie naogopa ndio maana natafuta mbadalaWewe tu ndio hauogopi kuachika.
BFF acha kunijaza upepo ujue!!
Amekua sasa sio!!
Sasa huu mkanganyiko wa mashemeji ndio inakuwaje!!
Au Heaven Sent na Nalendwa wana taarifa?
..vyako vya glass vyangu vya udongo, more durable. Kwa hiyo mkifanya biashara mnikumhuke kwa hilo.Hivyo hana, mimi ndio ninavyo.
Eti kufuga!, [emoji28] [emoji23] [emoji23]haha usiniambie tumeamua kufuga now haha
makungwi kwa kuachika tu, mie akhuuuuu
Hahahaaa!! We hutoachika bwana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hana tabu huyo
Kuongea si kutenda. Ujue kuna mambo waweza mshauri mtu ila wewe usiyaweze kabisa!!Haha!, T ake eti ukiwa Kungwi utaachika[emoji3]
Hivi sijui kwa nini inakuwaga hivi!, ujuzi naona huwa unayeyuka wakiwa kwenye nyumba zao..[emoji2]
Kwani kuongea ni kazi basi,unaropoka tuHaha!, T ake eti ukiwa Kungwi utaachika[emoji3]
Hivi sijui kwa nini inakuwaga hivi!, ujuzi naona huwa unayeyuka wakiwa kwenye nyumba zao..[emoji2]