Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Kutafuta mke ni sawa na kucheza kamari,wewe na bahati yako huko mbeleni,
Mtu utamjua zaidi tabia yake baada ya kuishi nae na sio kwa kumuona juu juu tu!
 
Back
Top Bottom