Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Heart want what the heart want....

Kuna kitu kinachanganya mnoo kwenye kuchagua.....

Haja ya moyo wako (kipenda roho) vs mahitaji halisi ya ndoa (vigezo halisi vinavyohitajika)....

Ukifanikiwa kupata vyote kwa pamoja your safe.....
Dah mkuu kuna kipindi najiuliza hivi ni nin nataka haswa, roho inataka mwenye chura na sura nzuri bt akili inataka wife material fulani hivi
 
Dah,huwezi amini nmeshawahi kumwacha mwanamke kisa tu hajitumi kitandani yaani hata ile kufanya maandalizi kwa pamoja anakuacha tu unafanya yote yeye yupo tu anakucheki tu ukimwambia geuka anageuka tu bila shida,hicho tu nilimuacha na kuoa mwanamke mwingine lakini alikuwa na kila sifa ya kuitwa mke.Mpaka leo bado ananipenda sana tu japo nna familia.
 
Ukaoa anaejishughulisha, akili zenu bwana!!
Kwahiyo alikupenda ila wewe haukumpenda!!
 
Hapo chakufanya ni kujaribu kubalance. Usiegemee upande mmoja utajuta
Cute +Charater+Capacity= A Woman i want

Hadi sasa nina miaka 28 sijawahi mpata, ukimpata cute but capacity ni zero, ukimpata smart bas cute ni zero. Unaweza pata mzuri ila tabia sasa
 
Ukaoa anaejishughulisha, akili zenu bwana!!
Kwahiyo alikupenda ila wewe haukumpenda!!
Miaka miwili na sehemu si haba nilmpenda,kumbuka mapenzi hupungua kwa kuanza kumkosoa mtu na hatimaye huisha kabisa
 
Cute +Charater+Capacity= A Woman i want

Hadi sasa nina miaka 28 sijawahi mpata, ukimpata cute but capacity ni zero, ukimpata smart bas cute ni zero. Unaweza pata mzuri ila tabia sasa
Sometimes is very hard to find someone with all those attributes kwa pamoja.

Ila unaweza ukampata mwenye atleast hizo attributes kisha ukazijazia nyama.

Kuna tabia unaweza ukazi instal kwa mwanamke unazozitaka. Ni swala la muda na mhusika kuwa ready kubadilika.

28yrs muda bado upo. Ni swala la kutulia, na kutuliza akili huku ukimwomba Mungu.

Kila la kheri
 
Back
Top Bottom