Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Naona mwatupiana mpirahahaha me muuzaji tu
Naona mwatupiana mpirahahaha me muuzaji tu
Nataman kuwa na mwanamke ambaye siku moja ataweza kutunza familia vzuri hata nisipokuwepo. Huwa naangalia jinsi mama alivyotutunza since baba alipofariki halafu nacompare na hawa naodate nao naona bado sana.Kila la kheri mkuuu. Kwanini unaangalia kichwani zaidi??
me ndo niachike eeh? MshindweeeEmbu acha roho mbaya banah
Hahah usidate na wasio kuwa na 'TBS' zako mkuu. Hao wanakudumaza akiliNataman kuwa na mwanamke ambaye siku moja ataweza kutunza familia vzuri hata nisipokuwepo. Huwa naangalia jinsi mama alivyotutunza since baba alipofariki halafu nacompare na hawa naodate nao naona bado sana.
Naomba kuwasilisha hoja, japokuwa mtaniambia sifa hizo nilizozitaja hapo juu ni za Malaika.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Mbona unanicheka mrembo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahaaaaaa kumbe kuachika kunauma eeh maana sio kwa kuogopa hukome ndo niachike eeh? Mshindweee
Sijakucheka banah, ila Nimefurahia hicho kipande cha mwisho.Mbona unanicheka mrembo!
[emoji119] [emoji119] [emoji1] [emoji1]Penda mwanamke. Mwenye tako na sura nzuri ila sasa walio wengi sio wote.. Wenye tako na akili zao hua kitakotako hivyohivyo...
Wanawaza tu kujiangalia kwenye kioo na ngono ila upstairs inakuaga zero..
Nenda insta ndio utaona...
Mpaka mtu ukiangalia future ya watoto wako na familia yako unaona bora uoe wa kawaida tu itapendeza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijakucheka banah, ila Nimefurahia hicho kipande cha mwisho.
Niliwahi uliza hilo swali pia humu, je ungependa mke/mume kama mama/baba yako? Wewe naona jibu lako ni ndio.Nataman kuwa na mwanamke ambaye siku moja ataweza kutunza familia vzuri hata nisipokuwepo. Huwa naangalia jinsi mama alivyotutunza since baba alipofariki halafu nacompare na hawa naodate nao naona bado sana.