Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,485
Naona umeanza uchochezi@joseverest unaitwa huku[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Naona umeanza uchochezi@joseverest unaitwa huku[emoji85] [emoji85] [emoji85]
HakikaBila shaka amekusikia
Najua umemiss kale katabia ka kulalamika [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hahahaaa!! Mi nimemmiss tu shem wangu.
Ahahahaaaaa uwiiiHahahaaaa!! Hajaacha tu?
Amekua sasa sio!!Ahahahaaaaa uwiii
Siku hizi alalamiki tena wala nafasi ya kwanza haitaki pia. Amekuwa kijana mzuri sana aiseeh
Eheheheeeee siunajua hakunaga awali mbovu, japo kijana ananipeleka mbio mbio acha kabisa kila mtaa atongoza basi kila siku najifunga kibwebwe kwa ajili ya kufumania. Nimechoka rafiki yangu nimezeeka ghafla kisa tuu kukimbizana na mume [emoji26][emoji26][emoji26]Amekua sasa sio!!
Sasa huu mkanganyiko wa mashemeji ndio inakuwaje!!
Au Heaven Sent na Nalendwa wana taarifa?
@iceman 3d hizi tabia mbaya umezianza lini?Eheheheeeee siunajua hakunaga awali mbovu, japo kijana ananipeleka mbio mbio acha kabisa kila mtaa atongoza basi kila siku najifunga kibwebwe kwa ajili ya kufumania. Nimechoka rafiki yangu nimezeeka ghafla kisa tuu kukimbizana na mume [emoji26][emoji26][emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@iceman 3d hizi tabia mbaya umezianza lini?
Na kuna mahali nilimuona anatafuta eti dawa ya mvuto, sasa sijui ili amvutie nani!!!
Kuwa tu na moyo ulopondeka mpendwa, muombee mumeo tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona ndio mambo yake hayo nimeshamzoea anakosea leo anaomba msamaha kesho anarudia kitu kile kile, nataka nifanye mchakato nimpeleke kwenye maombi
Asante kwa kutukumbukaMIMI SIFA ZOTE TISA...KUMI AWEE NA CHURAAAA...!!
Basi nipatieHivyo hana, mimi ndio ninavyo.