Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Eeh unafuga tu mtu mzima mwenzioEti kufuga!, [emoji28] [emoji23] [emoji23]
Haha, vocab mpya nzuri! [emoji3]
Eeh unafuga tu mtu mzima mwenzioEti kufuga!, [emoji28] [emoji23] [emoji23]
Haha, vocab mpya nzuri! [emoji3]
Jamani we si unakuwa wa mfano?
Weee me ndo niachike,nipauke, uso ukose nuru na mashavu yachume kunde?Wewe tu ndio hauogopi kuachika.
Hata mie naogopa ndio maana natafuta mbadala
Ahahahaaaaaa..tena vyangu ni vile vya udongo [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti kufuga!, [emoji28] [emoji23] [emoji23]
Haha, vocab mpya nzuri! [emoji3]
Unajua kumpa mtu ushauri huwa ni rahisi sana, yakikufika wewe ndio utajua ugumu wa kuyaishi yale uliyokuwa unawapa wenzio.Haha!, T ake eti ukiwa Kungwi utaachika[emoji3]
Hivi sijui kwa nini inakuwaga hivi!, ujuzi naona huwa unayeyuka wakiwa kwenye nyumba zao..[emoji2]
AhahahaaaaaaWewe kungwi bwana, tukishauza we waenda kutoa somo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kuongea ni kazi basi,unaropoka tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh unafuga tu mtu mzima mwenzio
Embu wapumzisheni makungwi wa watuHahahaaaa!! Ooh mumefanyie hivu, fanya vile mara usifanye vile!!! Wooooi!! Alafu ndio wanaongoza kuachika.
Haha sitaki kuandika gazeti leo mie.Hahahaaaa!! Ooh mumefanyie hivu, fanya vile mara usifanye vile!!! Wooooi!! Alafu ndio wanaongoza kuachika.
Wapumzike tu! Sisi hatujawashika[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Embu wapumzisheni makungwi wa watu
Akili zao wañazijua wenyewe. Na ungekuwa mpenda starehe pia angekuona haufai.Sometimes hua siwaelewi hawa watu pia... Yaani mimi kuna mmoja aliniacha kisa sio mtu wa kupenda sana starehe, sijui pombe mara kukesha disco... Nikamwacha aende zake aiseee!