Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Asikwambie mtu mkuu.
Binti ànaweza kuwa na kila sifa Ila kama moyo wako haupo kwake daah
Hata angefanya nini huwezi appreciate...wala hioni...

Unajikuta moyo upo kwingine kabisaa tena huko moyo ulipo hata hamna la maana.

Unaishia kumuumiza.
..kweli kabisa Mkuu..
 
Hapo unanikumbusha akili yenu moja hivi ya kipuuzi sn mnayojiaminishaga wanawake eti mkiachana na mwanaume yule mwanaume lzm apatwe na majanga...au eti mnauwezo wa kumlaani mwanaume aliye waacha solemba..huubninupuuzi dada angu na story zako za kutunga...Huwezi kumlaani wala kumuombea mabaya mwanaume aliyekuacha akaenda kwa mwanamke mwingine kwasababu...wewe mwenye kujihusisha na ngono bila ndoa ni laana tosha nimemaliza...nilichojifunza kwa wanawake wanajiona ni faithful uwaga wana amini ndo wamemaliza kila kitu yaan...na hawapaswi kuachwa..na hiko ndo chanzo kikubwa cha kuachwa..
 
Kutafuta mke ni sawa na kutafuta kuajiri

unaweza ajiri mtu mwenye sifa kwenye karatasi ukakuta kumbe sio muaminifu
mzembe na hafanyi kazi hadi asukumwe

mwingine sifa ndogo on paper but anajituma..anaaminika na ana deliver more zaidi

kuna kuingia mkenge pia
Hahaaaa
 
mmmh
 
[emoji102] ??
[emoji116]
Mithali 14:1
Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake,Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
[emoji116]
Mithali 21:9
Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini,kuliko katika nyumba pana na mwanamke mgomvi.
[emoji116]
Mithali 21:19
Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika,kuliko na mwanamke mgomvi,mchokozi.
..Tiririkaaa,..
 
kuchagua nafikiri ni suala pana sana kwenye issue ya mke lkn ni muhimu kuzingatia mahitaji ya moyo wako kuwa ni nini na usisahau mahitaji ya mazingira yako kuwa ni yapi,

Sokoni = mazingira, mahitaji ni CHURA
 
Kuna wanawake wengine huweza kukuonyesha upendo na mwanaume ukaingia king. Tatizo linakuja mkiingia kwenye mahusiano ndo unakuja kuona sura yake ya pili.
 
Hapo unanikumbusha akili yenu moja hivi ya kipuuzi sn mnayojiaminishaga wanawake eti mkiachana na mwanaume yule mwanaume lzm apatwe na majanga...au eti mnauwezo wa kumlaani mwanaume aliye waacha solemba..huubninupuuzi dada angu na story zako za kutunga...Huwezi kumlaani wala kumuombea mabaya mwanaume aliyekuacha akaenda kwa mwanamke mwingine kwasababu...wewe mwenye kujihusisha na ngono bila ndoa ni laana tosha nimemaliza...nilichojifunza kwa wanawake wanajiona ni faithful uwaga wana amini ndo wamemaliza kila kitu yaan...na hawapaswi kuachwa..na hiko ndo chanzo kikubwa cha kuachwa..
Wacha we!!!
Mbona umeongea kwa tone ya hasira sana? Uliombewa mabaya nini!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom