Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Aisee toka huko mbuguni porini..
Umeambiwa parkers kuna maombi pale?
Wewe tunakupeleka maana pepo lako sio la nchi hii...haiwezekani humu ndani hauachi dada zetu vipenzi wasitulie.

Hapo tabata napo kila nyumba unamtoto. Afadhali kukubadilisha na tenga la upupu kuliko kuwa na ndugu kama wewe.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani kila kona ana mwanamke huyu kaka yangu, hadi huwa naona aibu kusema ni kaka yangu.
 
Ivuga wewe na dada yako nawaheshimu saana. Ila kumwita mamito wangu jimama aseeh nitawaziba nyeti
Aisee mimi usinizibe ila dada yangu mzibe.
Tena nitafurahi na nitachinja bata mzinga kusherehekea.. Ili atulizane kukitembeza..
 
Back
Top Bottom