BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,332
Ingekuwa walio ndani ya ndoa wanaweza kuvumilia espy basi kungekuwa hakuna michepuko kabisa, lakini kama ujuavyo siku hizi michepuko inazidi kuongezeka. Wakati wa uBF na uGF mara nyingi mambo bomba sana sasa ngoja mfunge pingu za maisha matatizo ndiyo nayo yanagonga mlango.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kama hafundishiki ndio umvumilie maana hayo mengine si siyo muhimu kwako!!