[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]inatesa kabisa yaan acha tu. ila uzuri wa haya mambo ni kwamba, na wewe somewhere kuna aliyekudondokea na wewe huna habari nae.
it is so fun sometimes.
Matatizo yetu sisi mkuu, kama mambo hayaendi vile unavyotaka kwa siku mbili tu unatafuta shost wa kukupa ushauri; baada ya wiki kumbe jamaa ilikuwa ni pressure ya report amalize kazini na ameshamaliza na amekutoa dinner umeshasahau hata kama mlikuwa na matatizo. Kule mashost bado wanayaongea na wanangoja siku utakayobeba virago.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mapenzi ni 'utumwa wa hiari'
for both sides
ndo maana simu unanunua kwa hela yako lakini kuna mtu akikupigia ukachelewa kupokea
inabidi 'ujitetee'
Huu ujinga umeenea sana siku hizi. Hakuna ubaya wa kutafuta ushauri lakini huyo unayeenda kumuomba ushauri unamuamini kiasi gani!? Je, ni kweli anafurahia kuona penzi lenu likizidi kuchanua!? Au ni kidudu mtu anayecheka usoni lakini moyoni anawaombea mabaya kwenye penzi lenu au kutaka yeye achukue nafasi badala ya mhusika!?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Matatizo yetu sisi mkuu, kama mambo hayaendi vile unavyotaka kwa siku mbili tu unatafuta shost wa kukupa ushauri; baada ya wiki kumbe jamaa ilikuwa ni pressure ya report amalize kazini na ameshamaliza na amekutoa dinner umeshasahau hata kama mlikuwa na matatizo. Kule mashost bado wanayaongea na wanangoja siku utakayobeba virago.
Yeah Hiyo nayo muhimu saana anasifa Ila moyo wake haupo hilo balaaBahati mbaya wanawake tunatafutwa sasa atokee yule ambae moyo umekufa lakini yeye hajafika ki-vile.
Mkuu sumbai kunavitu viwili. Moyo na akili kimoja lazima ki control mwenzake naona jamaa alisahau kuwa decision tunafanya kwa kutumia akili na sio moyo yaani moyo siku zote unapenda vinonoHeart want what the heart want....
Kuna kitu kinachanganya mnoo kwenye kuchagua.....
Haja ya moyo wako (kipenda roho) vs mahitaji halisi ya ndoa (vigezo halisi vinavyohitajika)....
Ukifanikiwa kupata vyote kwa pamoja your safe.....
hahahahahah yaan hili ni tatizo pia[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani mapenzi acha tu yaitwe mapenzi.
Kwa hiyo wote hatujitambui? Hapo sawa...Kupitia mambo mengi nimekuja kugundua tunaogelea bahari moja tu.
Si mpaka sasa uyajue hayo.Huu ujinga umeenea sana siku hizi. Hakuna ubaya wa kutafuta ushauri lakini huyo unayeenda kumuomba ushauri unamuamini kiasi gani!? Je, ni kweli anafurahia kuona penzi lenu likizidi kuchanua!? Au ni kidudu mtu anayecheka usoni lakini moyoni anawaombea mabaya kwenye penzi lenu au kutaka yeye achukue nafasi badala ya mhusika!?
Kweli kabisaa....Formula nzuri ni kuoa yule ambae hata akikuudhi hukasiriki
sababu mapenzi yanahitaji uvumilivu....sana
kuoa mtu sababu tu ni 'wife material' lakini 'hakusisimui' kabisa ni rahisi kuachana nae
Dawa nikuoa yule ambae hata akikukosea unaweza samehe bila kuombwa radhi
simply sababu yuko moyoni mwako
Ata kama akili inakataa moyo uende tu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Hapana kwa kweli. Ujue upendo unajengwa Moyo kazi yake ni kutamani na akili kazi yake ni kujenga upendo swala ni pale unaposhindwa ku control moyo ili akili ifanye kaziKikubwa ni moyo upende, hayo mengine utayasawazisha kama pencil.
Siamini kama kuna mwanaume aweza kuingia ndoani based on chura, ndoa na maisha yake ni x1000 zaidi ya vyura na sura.Naona kama hilo la kwanza ndilo limekuwa la msingi zaidi ya hilo la pili.
Kila mtu ana vigezo vyake.