Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Jamaa kichwani hamna kitu. Serious, usikute kabinti kalikuwa royal, innocent yaani kalishindwa tu kuwa decent jamaa akapiga chini.

Kunawatu tunaomba mungu tukutana na wa hivo yeye analeta utoto
Alipokipoteza ndio akastuka, na binti akakataa na kumwambia "kama hukunipenda awali you never will, nahitaji mwanaume atakayenipenda mimi kama mimi."
 
Mkuu sumbai kunavitu viwili. Moyo na akili. Kimoja lazima ki control mwenzake. Naona jamaa alisahau kuwa decision tunafanya kwa kutumia akili na sio moyo. Yaani moyo siku zote unapenda vinono
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
When you decide to follow yo heart take yo brain with you.
 
Kila mtu ana vigezo vyake.
Hata kama kila mtu anavigezo vyake lakini kama ni mwanaume angalia the inner beauty, sasa kama unaoa uzuri wa sura, akipata ajali kesho utamuacha? Kama ni mwanamke unakwenda kwasababu mkaka ana mali, kesho amepata ajali na biashara imekufa utamuacha? Yote lakini sababu ya kuishi pamoja iwe ni mapenzi kwanza.
 
Ata kama akili inakataa moyo uende tu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] . Hapana kwa kweli. Ujue upendo unajengwa.
Moyo kazi yake ni kutamani na akili kazi yake ni kujenga upendo. Swala ni pale unaposhindwa ku control moyo ili akili ifanye kazi
Moyo ukitawala akili ndio balaa hiyo, wengi tunafuata mioyo bila kushirikisha akili na kusikiliza akili inasema nini, yakitukuta ndio tunakumbuka tuna akili.
 
Siamini kama kuna mwanaume aweza kuingia ndoani based on chura, ndoa na maisha yake ni x1000 zaidi ya vyura na sura.
Ohoooo!! Wapo bwana, wanakuambia tabia wataambukizana tu.
 
Ni kweli ndiyo inabidi kuzisoma tabia za marafiki na kuona kama wanastahili kuaminiwa kiasi hivyo cha kuwaomba ushauri kuhusu penzi au ni wale akina pangu pakavu tia mchuzi.
Sure.
 
Alipokipoteza ndio akastuka, na binti akakataa na kumwambia "kama hukunipenda awali you never will, nahitaji mwanaume atakayenipenda mimi kaka mimi."
Hapo unaweza tamani dunia ipasuke
 
Back
Top Bottom