Wanaume humu mueleweke mnataka nini basi? (Jike shupa)

Ebu weka picha hapa tuone, mbona unamsifia sana huyo Marioo utadhani alijiumba.
 
Laura wa Kiroba cheusi?? Ila we ni karemboooo, yale macho, waache tu marijali watoboke mifuko.
Halafu wanawaonea sana wengine akina cutelove kwa 7800 wanawaanzishia nyuzi humu
 
Aaaaah thubutuuu! Wanawake wa humu wana kasi kuliko umeme! Washanikwapuliaga buzi langu la faida Enzi hizo! Niliwapa tu hint! Ila walkouts nalo! Kama woteee!
Wa

wanawake wa humu sumuuu tena ya uranium! Siwajaribu kwa kuwalamba!
 
Laura wa Kiroba cheusi?? Ila we ni karemboooo, yale macho, waache tu marijali watoboke mifuko.
Halafu wanawaonea sana wengine akina cutelove kwa 7800 wanawaanzishia nyuzi humu
Heheeeheeeee! Huo uzi wa 7800 ulinipitaaagaaa! Unajua haya mambo anaewahi polisi ndo mwenye hakiii! Cute love angewahi yeye kuanzisha thread!
 
Back
Top Bottom