Wanaume hii ni Yenu

Wanaume hii ni Yenu

Kama ndio wewe kwa nini hii usiikatae wakati ulishasikia mkuu wa mali asili alipiga nae ruti kutangaza utalii

WEMA_NA_AUNTY.PNG





images

aunty%2Beze.jpg

912a0__mimba2Bya2Baunt2Bezekiel.jpg

a9d38__nyarandu.jpg
 
Mtoa mada nakushauri uangalie vipindi vya JEREMY KYLE SHOW, MAURY SHOW na TRISHA SHOW ingia youtube na andika hayo majina utaona maajabu ya dunia ndio utajua ulichokiandika ni ujinga...wanawake siku hizi sio wakuwaamini kabisa aisee...kuna case mwanamke anaenda kupima DNA mpaka na wanaume 7 na wote inaonekana sio baba halisi wa mtoto...sasa hapo unajiuliza inamaana alitembea na wanaume wangapi..angalia hivyo vipindi uone maajabu na uchafu wa wanawake walio kwenye ndoa na walio nje ya ndoa...SIO RAHISI MWANAUME KUKUBALI TU MIMBA AU MTOTO KTK KARNE HII BILA KUHAKIKI.
 
Kwanini sasa wanakubali bila ya ndoa,na nikwanini wanachanganya wanaume?
Asilimia kubwa wao ndio asili ya tatizo hili kwa kiasi kikubwa
 
Leo nije kwakina kaka. Kwakweli sikufahamu kuwa hadi miaka ya dot.com bado watu wanakataa ujauzito na watoto, really????

Wakati unafanya hilo tendo na huyo dada hukujua kuwa matokeo yanaweza kuwa nini??? Wako wapi vijana wanaojua thamani ya msichana na kumsubiri hadi siku ya harusi???? Wako wapi vijana wanaosimamia na kuamini wanayoyasema???

Vijana wa siku hizi wamejaa mashairi mazuri mno ya mapenzi, yaani maneno yao yanawamaliza kabisa wadada hata wakilokole wanajikuta wametoa yote. Inapotokea mimba basi huruka mita mia, kama sio yeye kabisa, mashairi ya kubembeleza yanageuka mikuki ya kuchoma moyo.

Umeshamkosea Mungu, Dada amepata mimba nijukumu lako kuutambua ujauzito huo na kuulea pamoja na mtoto. Wengine wanawashauri wasichana watoe mimba, na wasichana kwakutokujua lakufanya wanakubali. Nijambo la aibu Sana kukataa mimba na mtoto wako, na akishafika miaka 5 unajitutumua Mahakamani kumdai mtoto, mbaya Sana.

Wewe kijana unayesoma hapa, Mungu anajua ni watoto wangapi umewakataa. Tubu sasa mbele za Mungu na haraka uende ukaombe radhi kwa mama watoto wako na ukubali majukumu yako.

source: www.rosemarymazizi.blogspot.com

Ushauri wa bure, kwa nini wadada wanatoa wakati wanajua fika kuna kupata mimba. Je anabakwa au anakubali mwenyewe. Ana haki ya kukataaa na pia akikubali basi ajue wanakula maisha so ni lazima watumie condom.Nashauri kwa wadada never ever give anyone utamu kabla ya kuvishwa pete ya uchumba, mtaishia kuwalaumu wanaume wakati mnaakili zenu pia.
 
kama alivosema mdau hapo juu kwamba kunasababu zinazochangia kukataa mimba kwa wanaume.

1. Unakuta mtu mliachana miezi mitatu iliopita afu anakuja anakwambia flani ninimimba yako, utaanzia wapi kuikubali??

2. Msichana akiwa muhuni (anamabwana wengi) ni ngumu kwa men kukubali hiyo mimba kwakweli.

3. Kutegeshewa mimba, hii wanayo wadada ambao wanahisi umri wao umeenda sana hivo wanamtegeshea mwanaume siku za hatari ili tu akipata ujauzito ile kwake.
 
Mleta uzi umetawaliwa na hisia zaidi kuliko uhalisia.

Ulichoongea kinategemea na Sababu za mtu kutelekeza mtoto.

Halafu huu mtindo wa wadada kuwalaumu wa kaka na wakaka kuwalaumu wadada katika hili swala la ujauzito nje Au kabla ya ndoa mimi naona si sahihi. Wote ni wa kalaumiwa, kila upande unapaswa kuwa makini Hata kama mwenzake alikuwa na nia ya makusudi.
 
Mwingine anakuwa hawamuamini msichana aliyenaye kama ana mpenzi mmoja hivyo kuhisi vile mimba sio yake

Nafikiri hii ndo huchangia kwa kiasi kikubwa. Kwa hali ya sasa ilivyo wasichana si waaminifu na mwingine ana zaidi ya mmoja na hajui nani kampa mimba. Ila ikitokea mimi naweza kumpa support mpaka kujifungua kwa sharti mtoto ntamkubali baada ya kupima DNA.
 
Ndio watueleze sasa

Hii ni kutokana na yanayowakuta baadhi ya wanaume wakijiaminisha kuwa wenzi wao ni wao tu. Unakuja pata shock kumbe si wewe tu. Kwahiyo kukubali baada ya kujiridhisha ni muhimu.
 
Hii ni kutokana na yanayowakuta baadhi ya wanaume wakijiaminisha kuwa wenzi wao ni wao tu. Unakuja pata shock kumbe si wewe tu. Kwahiyo kukubali baada ya kujiridhisha ni muhimu.

Nini kifanyike
 
kupata mimba kunaashiria hayupo makini na kuna uwezekano mkubwa kuwa siyo yako
 
Nini kifanyike

Nafikiri nimeeleza kwenye post zangu mbili. Kwanza ikitokea si vizuri pia kukataa mimba kama kweli ulilala naye. Mwanaume ni vyema uendelee kutoa support ila kupata uhakika ni muhimu.

Pili wasichana wanatakiwa kuwa makini kutoruhusu hili tendo especially nyakati zao za hatari. Na pia wasichana wanaokuwa na mawazo ya kubeba mimba kama njia ya kumlainisha mwenza kwenye suala la ndoa nalo si jambo jema. Mwanaume anaweza kuwa na nia nzuri na wewe ya kukuoa lakini akawa hajajiweka tayari katika mambi fulani. Suala la kumshitukiza unaweza sababisha kukataliwa mimba. Ni vizuri ukamuonyesha mwanaume upendo ila suala la kukuoa mwachie yeye aamue. Kwa maana nyingine wanaume wengi wanashituka unapojaribu ku-fast track ndoa. Ndiyo maana nasema we mwekee mazingira ya kujiaminisha uko naye yeye hilo hatashindwa kuliona. Lakini akina dada wengine wakisikia fulani ameolewa then all over sudden naye anaanza kulazimisha mambo. Wanaume mara nyingi hawapendi kwenda kwa upepo wa watu wengine.

Tatu, mwanamke ana jukumu la ziada kwasababu yeye ndo anatambua siku zake kuliko mtu yeyote. Kwahiyo kama ni mtu wako ubaweza kumweleza kutumia condom kwa siku ambazo unahisi hauko salama.
 
Ni vibaya sana kwa kweli. Ila mwanamke nae asihadaike tu na maneno au uzuri wa mwanume na vitu kama hivyo. Nyota njema huonekana asubuhi wahenga wanasema. Pale pale mwanzo ukiona huyu mwanaume ni maneno matupu mbeleni ni shida kwa nini usijipushe mahusiano nao. Kulea mimba siyo kazi kazi na kulea mtoto akili kichwani kabla hujafanya mamuzi yatakayokugharimu maisha yako.
 
Wewe Angelita si ulijisifia humu kuwa unatembea na mume wa mtu?

Huna moral authority kabisa ya kuwafunda watu kuhusu mahusiano.
 
Hili swala la mwanamke kutoa mimba au mwanaume kuikataa huwa linasisimua sana mwili naona hata ufanye mema mangapi mungu hata kusamehe.
 
Hili swala la mwanamke kutoa mimba au mwanaume kuikataa mimba huwa linasisimua sana mwili naona hata ufanye mema mangapi mungu hata kusamehe.
 
Mi nshachoka kusema.

Kama mwanamke anajua anambebea mimba mwanaume (sio kwaajili yake na mwanaume akiikataa nae hiyo mimba haitaki/hawezi kuendelea kuwa nayo) asijibebeshe mimba bila makubaliano na mwanaume, SIMPLE. Kuna kondom, kuna dawa/sindano/vipandikizi vya kuzuia mimba na kuna utaratibu wa kuhesabu. Ukishindwa kutumia chochote hapo kujilinda ili usipate mimba alafu ukapata IT'S ON YOU. Kuwa tayari kubeba na kukubali responsebility 100% with or without the man.

Ndio wanaume wanafanya vibaya kukataa lakini kwanini na wanawake nao waendelee kujibebea mimba za watu wasio na mapenzi au hata makubaliano nao???BADILIKENI BANA, or else mtaendelea kulia na kulalamika mpaka mwisho wa dunia but it won't help. :deadhorse:
 
Back
Top Bottom