Wanaume hii ni Yenu

Wanaume hii ni Yenu

wajua tatizo lipo kwenu.....mnatutegeshea mimba iwe sababu ya kuolewa...... wakati tulikuwa tunafanya km starehe kumbe una lako moyoni......sikubali ng'o lazima ukaichomoe.
 
Mtoa mada nakushauri uangalie vipindi vya JEREMY KYLE SHOW, MAURY SHOW na TRISHA SHOW ingia youtube na andika hayo majina utaona maajabu ya dunia ndio utajua ulichokiandika ni ujinga...wanawake siku hizi sio wakuwaamini kabisa aisee...kuna case mwanamke anaenda kupima DNA mpaka na wanaume 7 na wote inaonekana sio baba halisi wa mtoto...sasa hapo unajiuliza inamaana alitembea na wanaume wangapi..angalia hivyo vipindi uone maajabu na uchafu wa wanawake walio kwenye ndoa na walio nje ya ndoa...SIO RAHISI MWANAUME KUKUBALI TU MIMBA AU MTOTO KTK KARNE HII BILA KUHAKIKI.

Kipindi cha maury kilinifanya niangalie mambo mengi kwa jicho la tofauti.
kuna dada alipata mapacha na kila mmoja ana babae lol(YOU ARE NOT THE FATHER)

Jukumu la kujikinga kubeba mimba ni la wote kama HIV
Ila kuna exceptions
kuna wanaume anajua kabisa mimba ni yake na anakana ili tu atoke kwenye majukumu
kuna kinga kupasuka
kuna wengine hadi watoto wa ndoa wanakana(ati mtoto mweupe,mweusi,hafanani nae etc)
kuna wanaohesabu na wanapata mimba
kuna wababa wengi wanatelekeza watoto matatizo yaitokea hasa ya kiafya
kuna mwingine walpanga kabisa na alivyopata tu mkaka akamwambia hiyo zawadi yako
nimeona mtu akipelekwa kwa lazima huku analia kutoa mimba kisa kinga ilipasuka na mkaka bado hajajipanga(xcuse ya wengi)

kwangu hii thread iwaendee wakaka na wababa ambao wanajua fika mimba au watoto ni wao na bado waeamua kukataa majukumu yao.tubuni
Na wadada,lets lov ourselves zaid,kama unaeza uabstain do it,kama ni kujikinga basi fanya hivyo..na tjaribu kuwakwenye mahusiano na watu ambao at least we can call responsible.
 
Umemchukua kwenda nae wapi? Kama ulimuamini mama yake na kutembea nae bila kinga si ina maana ulimuona anakufaa? kwanini hukumuoa. hapa ndipo mnakosea na nyie wakaka, kufungua zipu zenu bila kufikiria. Kama huko tayari kumuoa huyo mama kwanini usitumie kinga? Mnamnyima mtoto haki yake ya msingi ya kulelewa na wazazi wote wawili. Unajuaje mtoto yuko happy huko ulikompeleka maana hujapataja. Naomba muache kufungua zipu zenu hovyo hovyo. ukiamua kufungua basi take precaution, hawa watoto wa nje ya ndoa hadi lini?
Mpwa mie wa kwangu nimeshamchukua na sijawahi kumkataa! Watoto hawa wanakuaga na sifa moja mbaya, kufanana sana sana na baba zao na wanazidi kufanana pale inapoonekana dalili ya wewe kumkataa. Mungu anakuumbua kabisaaaa
 
Hazina madhara....??

Mkuu nadhani dawa nyingi zina madhara ikiwemo hata hizo contraceptives za kawaida. Hii morning after pill ni emergency contraceptive na hushauriwi kuinywa kila wakati coz ina interfere na mzunguko wa mwezi wa mwanamke. Ila madhara yake yatazidi yale ya kutoa mimba? Dawa hii pia anapewa mtu aliyekuwa raped kwa kuwa ina chance kubwa ya kuzuia mimba if taken mapema. Sitaki kuiongelea sana watoto wanaopita pita humu wasijekwenda kujaribu bure
 
Tatizo mnatutegesheaga..
Wengine mnagomea mipira, mara mkiona tunakaribia kileleni mtatuvua mipira,
Kuna wengine kweli wakataa mimba kwa ajili ya utoto na uoga wa majukumu ila kuna wale wanaobambikizwa ,wakikataa nawasapoti
 
Asante mtumishi heri ya mwaka mpya. Mekumithije na mie... new year resolution yangu ni kuchepuka nawe jiandae!


Ngoja nianze kufanya mazoezi ya viungo..lol. Hii nafasi ni adim sana....!
 
Mkuu nadhani dawa nyingi zina madhara ikiwemo hata hizo contraceptives za kawaida. Hii morning after pill ni emergency contraceptive na hushauriwi kuinywa kila wakati coz ina interfere na mzunguko wa mwezi wa mwanamke. Ila madhara yake yatazidi yale ya kutoa mimba? Dawa hii pia anapewa mtu aliyekuwa raped kwa kuwa ina chance kubwa ya kuzuia mimba if taken mapema. Sitaki kuiongelea sana watoto wanaopita pita humu wasijekwenda kujaribu bure
Ahsante, lakini unapaswa kuizungumza kwa kuwa watoto nao wanapaswa kujifunza....
 
Wanaume chanzo cha mabadiliko.
wakiwa wepesi/wa kwanza kutumia kinga kwenye ngono kutaleta mabadiliko makubwa.

Wakiacha tabia za kisodoma tutasahau ushoga.

Wakihamasika kupima vvu na magonjwa mengine ya zinaa tutaokoa watoto wetu wanaozaliwa.

Wakiwajibika ipasavyo kwa familia zao tutakua na jamii yenye maadili.
 
Back
Top Bottom