Wanaume hii ni Yenu

Wanaume hii ni Yenu

Kwann kama Mdada usitumie njia salama za kuzuia mimba ambazo ni natural na hazina side effects?????? Najua mwazijua.

Hizo natural sasa ndo hawaelewagi wagumu kama nini
 
Mimba nyingi huwa zinakataliwa kwa sababu ya mwanaume kuhisi au kuwa na uhakika wa mwanamke siyo muaminifu,ila mtoto akizaliwa huwa hakataliwi....me nafikiri kwanza mhusika ambaye ndiye mbeba mimba awe muaminifu kwa kiwango chakutukuka pasipo na shaka yoyote,maana huwezi kutibu tatizo kama hutibu chanzo cha tatizo,wanawake achanane na habari za vidumu hapo mtapata mnachokihitaji..
 
wadada chukueni hatua ya kukinga mimba hizi maana ni jambo linalowezekana vinginevyo kwa vijana wa kizazi hiki mtaishia kumimbwa tu na kususiwa watoto. Kumbuka hali hii ikifka anaepata taabu ni msichana kuliko mvulana. Kuweni makini tu inawezekana kabisa ndo maana kuna wadada wengine wanalala na wanaume lundo miaka mingi lakini hawajawahi kupata mimba! Inawezekana
 
EWE mutu mume...katu usikatae nimba yako ikiwa sifa na vigezo vimezingatiwa(umejiridhisha). ILA kataa kuoa mke mwenye mtoto ambapo itabidi uwalee wote wawili...usishangae utamlea na baba wa mtoto. ILA kama baba wa mtoto alifariki...apo ni sawa. Na kama yupo basi weka marufuku kwa mkeo kuwasiliana nae..maana majukumu sasa ni yako na mtoto tangu hapo awe wako...uwajibike kwa usawa.

YOTE KWA YOTE.....makubaliano yenu ndo amani yenu nyinyi mnaooana. KWISHNEY.
 
Wakati mwingine hutokea bahati mbaya, hapo ndio moto unawaka, la muhimu kuwa tayari kwa lolote kila jambo lina faida na madhara.

angelita bado hujaweka bayana, mm binafsi siwez kumlaumu sana anayekataa mimba wala siwez kumtupia lawama mwanamke moja kwa moja hii ni kutokana na haya:
1. Wapo wanawake wanaotegesha mimba,
2. Wapo wanaosingizia mimba(kapewa mimba na juma yeye anasema ni ya amosi)
3. Kuna wanaume au wavulana wasio jielewa wao wanachojali ni kuzamisha na kukojoa basi lakn matokeo ya baadae hayaangalii.
................... ........
Hakuna kitu kinachokera kama unajua kabisa upo na mm kwenye na mm najua nipo na ww lakn baadae nakuja kugundua unauhusiano na mwanaume mwingne, linakuja suala la mimba unaniambia ni yangu wakat najua kabisa ulikuwa na mahusiano na mwanaume mwingne, hapo lazma yatasubiriwa matokeo ya mtoto.

Kuna wengne anakutegeshea mimba ili tu apate nafasi ya kuolewa...

Kwa hapo ndipo mnapokosea sana
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama kuna watu huwa wanapenda kubeba mimba kabla ya ndoa (siwazungumzii wale wanaohitaji watoto tu ila kuolewa hawataki). Inapokuwa imetokea si vizuri kutwishana mizigo na kusukumiana makosa....wanaume huwa mnakimbilia kusema kwa nini mdada kakubali kubeba mimba,hayuko makini. Well mimi naweza kuwa makini na siku zangu lakini jamani semeni ukweli huwa mnaelewa??? When it comes to sex wanaume ninyi akili huwa zinahama ila akili zikisharudi mnajifanya kuwapondea watoto wa watu.

ukimwambia asipoelewa basi achana nae! Si ni vyema kukwazana kwa kumnyima tendo kuliko kumkubalia na matokeo yake yakakugharimu furaha ya maisha?
 
Tusikatae mimba but usiwe bias, hilo ni kosa la wote wawili kwani mwanamke alibakwa? kwanin akubali kuzin kabla ya ndoa?
 
Ungetaka kujuwa tofauti tayari ungeshajuwa maana nimetoa na mfano hai, unless subiri thread yake siku yake ila ukisearch humu utaikuta thread sifa za Mwanaume kamili by Lizzy

Ahsante.. Ntaitafuta nijue.
 
Last edited by a moderator:
Leo nije kwakina kaka. Kwakweli sikufahamu kuwa hadi miaka ya dot.com bado watu wanakataa ujauzito na watoto, really????

Wakati unafanya hilo tendo na huyo dada hukujua kuwa matokeo yanaweza kuwa nini??? Wako wapi vijana wanaojua thamani ya msichana na kumsubiri hadi siku ya harusi???? Wako wapi vijana wanaosimamia na kuamini wanayoyasema???

Vijana wa siku hizi wamejaa mashairi mazuri mno ya mapenzi, yaani maneno yao yanawamaliza kabisa wadada hata wakilokole wanajikuta wametoa yote. Inapotokea mimba basi huruka mita mia, kama sio yeye kabisa, mashairi ya kubembeleza yanageuka mikuki ya kuchoma moyo.

Umeshamkosea Mungu, Dada amepata mimba nijukumu lako kuutambua ujauzito huo na kuulea pamoja na mtoto. Wengine wanawashauri wasichana watoe mimba, na wasichana kwakutokujua lakufanya wanakubali. Nijambo la aibu Sana kukataa mimba na mtoto wako, na akishafika miaka 5 unajitutumua Mahakamani kumdai mtoto, mbaya Sana.

Wewe kijana unayesoma hapa, Mungu anajua ni watoto wangapi umewakataa. Tubu sasa mbele za Mungu na haraka uende ukaombe radhi kwa mama watoto wako na ukubali majukumu yako.

source: www.rosemarymazizi.blogspot.com
Na mimi baada ya kusoma ngoja nije na wadada.
Niwangapi wanajua kusubiri hadi siku ya ndoa ili amuonjeshe mmewe?
Ni wangapi wanajua kunyima chululu kwa wanaume wengi ili kuepusha mimba zinazoleta sintofahamu na zisizotarajiwa?
Wako wapi wanaosimamia wanayosema na kuyafanyia kazi?
Wako wapi wanaojua pesa ni majaliwa ila kinachomata ni mapenzi ya kweli! Haha?
Wanachojua tuu ni kutoa toa bila kujali aina ya tongozo na mienendo ya wanaume kisa wanataka kudhaminiwa baadhi ya huduma kama kusuka . kula. Karo.usafiri.
But angelita...usiblame upande mmoja. .vijana wote now days wamekuwa hivyo ulivyosema bila kujali niwakike au wa kiume.
Kuna wanaume wanakataa mimba kweli lakini pia usisahau kuna mabinti wanatembea na umati wa watu kama 20..so jamani ivi apo akipewa mimba alafu me mwanaume nkajua anatembea na wanaume wote hao ntaamini kama mimba yangu hata kama nlikuwa najua anatembea nao? Jinsia zote mbadilike sio wanaume tuu
 
Back
Top Bottom