Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Hao uliowaita ndio kazi Yao kukataa Mimbq na kule watoto....?
Hahaha hata nilikusahau hujawahi kukana mimba
Hao uliowaita ndio kazi Yao kukataa Mimbq na kule watoto....?
sijawahi kukana mimba kwa sababu sijapata bahati ya kutia mimba.....Hahaha hata nilikusahau hujawahi kukana mimba
sijawahi kukana mimba kwa sababu sijapata bahati ya kutia mimba.....
nimeshamaliza tangu mwaka jana zenye baraka, tena nyingi kabisa ndani ya miaka 9...uanaka kujua ngapi... miss neddy?usiwe na haraka utatia ile yenye baraka zote
nimeshamaliza tangu mwaka jana zenye baraka, tena nyingi kabisa ndani ya miaka 9...uanaka kujua ngapi... miss neddy?
nimeshamaliza tangu mwaka jana zenye baraka, tena nyingi kabisa ndani ya miaka 9...uanaka kujua ngapi... miss neddy?
ya kwako mbona imebarikiwa tena kimila....!Kwa hiyo hii ya kwangu ni ya laana? Maana kinyume cha baraka ni laana
ya kwako mbona imebarikiwa tena kimila....!
Kwa hiyo binamu yangu kabanga sio mtu?
hakawii kusahau....Hahahaa binamu umekaambia tena haka katoto katachonga sana
ni mtu ila kachelewa sasa wii unataka ujaze costa?
hakawii kusahau....
Acha hizo wii mbona unaniharibia CV mbele ya binamu hapa