Wanaume hii ni Yenu

Wanaume hii ni Yenu

Nyie wadada nanyi ni matatizo baadhi yenu...nina jama ayangu wa karibu, kaoa ila ana nyumba ndogo..kwa kauli zake alikuwa tayari kuitunza hata kuzaa..kuna wakati aliishtukia nyumba ndogo kuwa na yenyewe ina ki extension..alipombana alikubali na kudai kuwa ni mchumba na anajulikana nyumbani...jamaa waligombana sana na kuachana kwa muda ila walirudiana na yule binti alipata ujauzito..jamaa alipombana binti hakuwa na uhakika...jamaa akaamua kujitoa kwani yule mchumba naye alikuwa anahudumia..mtoto alipozaliwa utadhani jamaa yangu alijitoa photocopy!!! Binti anadai hata jamaa ambaye ni mchumba bado kalalamika mtoto hamfananii kabisa!! ila binti ameshindwa kumwambia ukweli...jamaa yangu wamegombana na binti na kutaka mtoto abadilishwe jina lakini binti kasita kwa madai hataweza kuificha aibu...jamaa kakubali yaishe kwa muda ila anatafuta njia mbadala ya kumkomboa mwanae...mtoto sasa hivi ana miaka mitatu na ndio anazidi kulandana naye kila uchao...binti naye bado hawajaoana na mchumbake ila mchumba anahudumia kwa kila kitu.......
 
Ilikuwa ni starehe ndani starehe ikatokea ajali. Ila mtoto siyo tatizo ila shida ni kumwoa huyo mwanamke maana hakuwa kwenye mipango yako
 
Mi nshachoka kusema.

Kama mwanamke anajua anambebea mimba mwanaume (sio kwaajili yake na mwanaume akiikataa nae hiyo mimba haitaki/hawezi kuendelea kuwa nayo) asijibebeshe mimba bila makubaliano na mwanaume, SIMPLE. Kuna kondom, kuna dawa/sindano/vipandikizi vya kuzuia mimba na kuna utaratibu wa kuhesabu. Ukishindwa kutumia chochote hapo kujilinda ili usipate mimba alafu ukapata IT'S ON YOU. Kuwa tayari kubeba na kukubali responsebility 100% with or without the man.

Ndio wanaume wanafanya vibaya kukataa lakini kwanini na wanawake nao waendelee kujibebea mimba za watu wasio na mapenzi au hata makubaliano nao???BADILIKENI BANA, or else mtaendelea kulia na kulalamika mpaka mwisho wa dunia but it won't help. :deadhorse:

Maneno makali lakini ndio ukweli.
 
kama sio yangu sikubali... kama ni yangu nitaangalia nikubali au nikatae
 
Jamani wadada: mwenye mimba asie na pakuipeleka, aibebe na kuileta kwangu!
 
Mi nshachoka kusema.

Kama mwanamke anajua anambebea mimba mwanaume (sio kwaajili yake na mwanaume akiikataa nae hiyo mimba haitaki/hawezi kuendelea kuwa nayo) asijibebeshe mimba bila makubaliano na mwanaume, SIMPLE. Kuna kondom, kuna dawa/sindano/vipandikizi vya kuzuia mimba na kuna utaratibu wa kuhesabu. Ukishindwa kutumia chochote hapo kujilinda ili usipate mimba alafu ukapata IT'S ON YOU. Kuwa tayari kubeba na kukubali responsebility 100% with or without the man.

Ndio wanaume wanafanya vibaya kukataa lakini kwanini na wanawake nao waendelee kujibebea mimba za watu wasio na mapenzi au hata makubaliano nao???BADILIKENI BANA, or else mtaendelea kulia na kulalamika mpaka mwisho wa dunia but it won't help. :deadhorse:

...na kuna morning after pills incase jana yake mapenzi yalikuchanganya ukaachia body
 
Sema baadhi ya Wakaka, wengine huwa hatukimbii majukumu yetu muhimu.

Leo nije kwakina kaka. Kwakweli sikufahamu kuwa hadi miaka ya dot.com bado watu wanakataa ujauzito na watoto, really????

Wakati unafanya hilo tendo na huyo dada hukujua kuwa matokeo yanaweza kuwa nini??? Wako wapi vijana wanaojua thamani ya msichana na kumsubiri hadi siku ya harusi???? Wako wapi vijana wanaosimamia na kuamini wanayoyasema???

Vijana wa siku hizi wamejaa mashairi mazuri mno ya mapenzi, yaani maneno yao yanawamaliza kabisa wadada hata wakilokole wanajikuta wametoa yote. Inapotokea mimba basi huruka mita mia, kama sio yeye kabisa, mashairi ya kubembeleza yanageuka mikuki ya kuchoma moyo.

Umeshamkosea Mungu, Dada amepata mimba nijukumu lako kuutambua ujauzito huo na kuulea pamoja na mtoto. Wengine wanawashauri wasichana watoe mimba, na wasichana kwakutokujua lakufanya wanakubali. Nijambo la aibu Sana kukataa mimba na mtoto wako, na akishafika miaka 5 unajitutumua Mahakamani kumdai mtoto, mbaya Sana.

Wewe kijana unayesoma hapa, Mungu anajua ni watoto wangapi umewakataa. Tubu sasa mbele za Mungu na haraka uende ukaombe radhi kwa mama watoto wako na ukubali majukumu yako.

source: www.rosemarymazizi.blogspot.co m
 
Last edited by a moderator:

source: www.rosemarymazizi.blogspot.com
Angelita hueenda wanawake wanaongoza kwa kukataa watoto maana wananyofoa sana ujauzito siku hizi unakuta binti under twenty kashatupa watoto kama saba lo! hebu linganisha wanaotupwa na hao wanaokataliwa, by the way siungi mkono wowote kwa sababu ni upuuzi usio kifani
 
Back
Top Bottom