Wanaume hii ni Yenu

Wanaume hii ni Yenu

sijui ubaya au uzuri sina mtoto wala sijawahi kukataa mimba wala kushawishi kutoa mimba na sitafanya hiyo kitu

Wewe ni Diamond?Kwi kwi kwi!!Just kidding!
 
Wakati mwingine hutokea bahati mbaya, hapo ndio moto unawaka, la muhimu kuwa tayari kwa lolote kila jambo lina faida na madhara.
Nahatitihati amkuvua wenyewe,,,kama wanavuana hiyo bahatinkemaaka njema so hat matokeo nayo ni baraka
 
miss neddy mie simo katika hilo kundi. Wangu siwezi kumuacha coz yupo na damu yangu aisee...after all siwezi kulala na mtu ambae mambo yakiharibika nitamkataa..! Kifupi, silali na mwanamke ovyo ovyo....! Ujana umenifunza mengi..!

wachache wanaojielewa kama wewe
 
Last edited by a moderator:
hongera sana mpwa kwanza ukikataa mtoto unajikosesha baraka

Halafu huyu mtoto amekua rafiki yangu balaa. Hua naweza kwamba bila yeye maisha yangu leo yangekuaje!! Ila nikipata mwingine aaaggh si mbaya sana
 
Wakati mwingine hutokea bahati mbaya, hapo ndio moto unawaka, la muhimu kuwa tayari kwa lolote kila jambo lina faida na madhara.

Kwa % kubwa nyie ndio wa kulaumiwa. Mtu ameshakuambia hataki mtoto, wewe unaishi na wazazi au pekeyo lakini unajipeleka kulalwa siku za ovyulesheni... Kwa nini usimuambie ni siku ya hatari? Kwa nini msitumie kinga? Kwa nini usikae home hadi siku unajua Leo hata akiingia peku upo sawa?
 
Maombi yqngu kwa mungu mwana jf aliebado asikutanenqlo hili ni mateso ya milelel ndugu zanguni
 
miss neddy mie simo katika hilo kundi. Wangu siwezi kumuacha coz yupo na damu yangu aisee...after all siwezi kulala na mtu ambae mambo yakiharibika nitamkataa..! Kifupi, silali na mwanamke ovyo ovyo....! Ujana umenifunza mengi..!

Wote wangekuwa hivi ingekuwa raha Sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwa % kubwa nyie ndio wa kulaumiwa. Mtu ameshakuambia hataki mtoto, wewe unaishi na wazazi au pekeyo lakini unajipeleka kulalwa siku za ovyulesheni... Kwa nini usimuambie ni siku ya hatari? Kwa nini msitumie kinga? Kwa nini usikae home hadi siku unajua Leo hata akiingia peku upo sawa?

Sio wote wenye uelewa wa haya mambo, na wanaume wengine hawataki au utamvalisha atavua na pia kuna kutoboka katikati ya tendo.

Cha muhimu kama unaona huna malengo na mtu mwache usimuaribie, wanaume watu wa ajabu Sana unajua huna malengo naye ila unataka tu umuonje mtoto wa watu, mambo yakiharibika unamsusia.
 
hilo si kosa la vijana wa kiume tu bali wote na wa kike. Kama wa kike ukiwa na msimamo thabiti kwa nini usikatae kubeba mimba bila plani. Kama ikitokea si vema kuikataa au kukataa mtoto lakini ni vema wapendanao wote busara ikawaongoza kuepuka kupata mimba za namna hii nje ya ndoa

Sidhani kama kuna watu huwa wanapenda kubeba mimba kabla ya ndoa (siwazungumzii wale wanaohitaji watoto tu ila kuolewa hawataki). Inapokuwa imetokea si vizuri kutwishana mizigo na kusukumiana makosa....wanaume huwa mnakimbilia kusema kwa nini mdada kakubali kubeba mimba,hayuko makini. Well mimi naweza kuwa makini na siku zangu lakini jamani semeni ukweli huwa mnaelewa??? When it comes to sex wanaume ninyi akili huwa zinahama ila akili zikisharudi mnajifanya kuwapondea watoto wa watu.
 
Mwingine anakuwa hawamuamini msichana aliyenaye kama ana mpenzi mmoja hivyo kuhisi vile mimba sio yake
 
Hii yote ni kwa sababu matumizi ya condom ni hafifu . Condom zinaexpire tu madukani. Mkitiana mimba mnasema bahati mbaya kwa nn condom isitumike
 
Mwingine anakuwa hawamuamini msichana aliyenaye kama ana mpenzi mmoja hivyo kuhisi vile mimba sio yake

Hapo ndo huwa nawaona yao wasivyo na akili... Hivi mtu unaweza kuwa na mashaka juu ya uaminifu wake na bado unatembea nae peku????
 
Back
Top Bottom