Wanaume hii ni Yenu

Wanaume hii ni Yenu

Wanaume inabidi muelewe tu kwamba kwa mnachokipanda kina mavuno,na mabinti tubadilike swala la kubeba au kutobeba mimba ni jukumu lako,na kama mwayaoogopa yote hayo ni bora kuacha uzinzi.

Mungu akubariki sana Dada yangu..sana yaani tena sana.
Heri ya mwaka mpya.
 
siwez kumkataa mwanamke aliye na damu yangu...
Ilitokea nikampa ujauzito hapakuwa na mjadala tena huyo huyo ndio mama mtoto....
 
Sio kila mwanaume ana akili za kiuanaume, wengine bado wana akili za kivulana. Kila mtu ana siri yake moyoni, usimsemee mwingine.

Kama bado anakua na akili za kivulana ujue bado ni mvulana not a man....
 
Hapo ndo huwa nawaona yao wasivyo na akili... Hivi mtu unaweza kuwa na mashaka juu ya uaminifu wake na bado unatembea nae peku????

Wengi hujitetea na kutoa sababu za kiwaki kishenzi tatizo lao hawapendi kuonekana kama wamekosea
 
Kwanini usiende kuchukua changudoa huko ukamaliza genye zako?????

Muwe na huruma aiseeeh


na huyu nae angesaidiwa na nani kupunguza genye za kwake.

wewe utanipeperushia ndege wangu humu ndani wacha ninyamaze
 
Sidhani kama kuna watu huwa wanapenda kubeba mimba kabla ya ndoa (siwazungumzii wale wanaohitaji watoto tu ila kuolewa hawataki). Inapokuwa imetokea si vizuri kutwishana mizigo na kusukumiana makosa....wanaume huwa mnakimbilia kusema kwa nini mdada kakubali kubeba mimba,hayuko makini. Well mimi naweza kuwa makini na siku zangu lakini jamani semeni ukweli huwa mnaelewa??? When it comes to sex wanaume ninyi akili huwa zinahama ila akili zikisharudi mnajifanya kuwapondea watoto wa watu.

sio znawahama wanaume tu hata wanawake.. Unaweza ukajua kabsia kuwa upo siku ya hatar lakn ukichekechwa tayar unaisahau,,, unakuja kukumbuka baadae net zikirudi
 
Labda Mimi sielewi mwanaume ni yupi na mvulana ni yupi???? Nataka kujua utofauti wao Mkuu.

Ungetaka kujuwa tofauti tayari ungeshajuwa maana nimetoa na mfano hai, unless subiri thread yake siku yake ila ukisearch humu utaikuta thread sifa za Mwanaume kamili by Lizzy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom