ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,425
- 118,941
Wanaume inabidi muelewe tu kwamba kwa mnachokipanda kina mavunona mabinti tubadilike swala la kubeba au kutobeba mimba ni jukumu lako,na kama mwayaoogopa yote hayo ni bora kuacha uzinzi.
Hapa umeongea jambo la msingi sana, jukumu la kubeba au kutobeba mimba linabaki kuwa la mwanamke 100%. Wengine mnakutana once kwa wiki..mimi ndio nianze kuhesabu siku zako..!??