Wanaume hii maana yake nini?!


okeee

nimejitahidi kukuelewa
 
Omba radhi kwa kujumuisha wanaume wote,huo ujinga unafanya na baadhi ya vijana wenye chembe za ushoga tuh.
 
Aliyekuroga wewe hadi afufuke ndio utakuwa salama. Toka nimeanza kusoma posts zako nimeona ni kiasi gani hii dunia imekuvurugaaa...by the way yule jamaa uliyemkabidhi kila tundu...ndani ya mwili wako kule US bado unawasiliana nae au ndio sasa unavurugwa na vijana wa kazi wa hapa town??
 
Mkuu kwa kiasi kikubwa ushoga ni hisia..Na mara nyingi wengi wanakuwa nazo..Wachache ndo zinaanzia ukubwani..Mtu kama hana hisia hizo ni ngumu sana kugongwa haijalishi anajipodoa au Lah..
Wanaume wa Dar wanaanza kuwa janga la Taifa sasa!
 
Ishi maisha yako, acha wengine waishi maisha yao kama hawakuingilii maisha yako.

Hii ni kanuni ya msingi kabisa.
Kila jamii ina common culture, norms and believes mkuu in which everyone must bind!
 
Mwanaume anapokubali kuyafanya hayo ni rahisi sana kuingia kwenye ushoga na kuwa shoga. Ni kwasababu hata company yake itakuwa si ya wanaume marijali bali mabinti na atatongozwa pia au atajitongozesha kishost shost kisha ataharibiwa.
 
Kila jamii ina common culture, norms and believes mkuu in which everyone must bind!
Nimeongelea kuhusu jamii katika post #40.

Lakini hata common culture nayo si kitu ambacho hakijadiliwi na hakibadiliki.

Kwa mfano, makabila mengi yana utamaduni wa kutahiri wanawake. Hilo halimaanishi kwamba tuendelee tu kukubali utamaduni huu bika kuuangalia uzuri na ubaya wake.

Halafu ukweli kwamba kuna dominant culture haumaanishi walio katika counter cultures na subcultures wasisikiklizwe.

Unaweza kujikuta unalazimisha Wamasai wote wavae suruali.

Culture is not static.
 
Ukiona mwanaume anamuingilia mwanaume mwenzake ujue huyo lazima akili zake haziko timamu hata kidogo, hivi unaanzaje? maana hakuna chochote kinachoshawishi, hebu fikiria unapompapasa hlf unashika dushe unajisikiaje?
 
Wanaume wa kweli tupo wachache sana saivi, nadhani na uvivu kupenda vya haraka na vizuri kuna waharibu vijana wengi wa Kiume
 
Dunia iko uchi Mkuu, sa hivi watu wanatafuna ass za Wenzao. Kuna dogo m1 hapa arusha anajifanyaga dalali wa magari, Mara yuko mererani kwny madini kumbe chenga tupu waarabu wanamtafuna mpk wamempangishia nyumba Njiro. Mpk wamtoe puru ndo ataelewa
mkuu kama namjua hivi.....hahahhaah
 
Kufanyiwa pedicure na Manicure nadhan ni utanashati tu havina uhusiano na ushoga...kuna weñgine hadi wanasuguliwa nyuso zao.Ni kujiweka sawa tu na smart. Japokuwa kwa mkaka aliyeoa ni vizuri akapatiwa huduma hii na Mkewe.

Uko smart mkuu
 
Mnaanzaga hivihivi mara mnapumuliwa visogoni
 
Tena hizo make up wanazijua kuliko hata sisi, wanajua original na fake, wanajua kati ya Fashion Fair, Imani, Bobby Brown au Flory Robert. Mbona mjini kazi ipo.
 
Kule kwetu Mara sifa ya mwaume ni sura ngumu na makovu ya mapanga km sio mawe. Sasa niende skrabu sijui nn ukoo unizire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…